Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
Umeelezea vzr sana mkuu. Namna pekee ya yanga kutoboa labda awe na uthibitisho wa upangaji matokeo mfano sms au voice note za upangaji matokeoMaamuzi yakitolewa na refa hata kama ya kuonewa huwezi kuyabadilisha kukupa faida ile ambayo ungeweza kuipata endapo refa angefanya fair.
Maana yake ni kwamba there's no way Mamelodi wanaweza kuwa watuhumiwa kwenye hili tukio na kwa maana hiyo hakuna maamuzi ambayo yatailenga Mamelodi hata kama kesi ikionesha kweli Yanga imedhulumiwa.
Hapo mhanga ni refa na timu yake ya VAR kule control room ambao hao hawana impact kihivyo tofauti na timu
Kwenye adhabu za FIFA hata wakimfungia refa bado hawawezi kubatilisha matokeo kuipa advantage Yanga.
Kwasababu Mamelodi watajitetea kuwa ni makosa ya refa sio wao hivyo hakuna sababu yoyote ya wao kuhusishwa kwenye adhabu ambayo imetolewa kutokana na makosa ya refa.