Hivi hakuna namna Yanga wanaweza kukata rufaa FIFA?

Hivi hakuna namna Yanga wanaweza kukata rufaa FIFA?

Matokeo kufutwa hutokana na kosa kufanywa na wachezaji

Wahusika wa hilo kosa ni marefa sio wachezaji

Hilo haliwezi kutokea hata siku moja.
Matokeo hufutwa ikithibitika kulikuwa na match fixing. Tusubiri. Haijaisha hadi iishe. Ziko timu za Italy zishawahi kufutiwa matokeo. Hapa ni Yanga kufungua kesi FIFA kudai wahusika wa VAR na marefa wote wahojiwe mmoja mmoja wakiwatuhumu kwa match fixing. Swali kubwa ni kuwa kwanini VAR haikuonesha marudio ya picha kwa camera za angles zote. Pia refa aseme alipewa maelezo gani na nani toka VAR room na kwanini hakuyathibisha hayo maelezo kwa kuangalia tukio kwenye screen. Dunia ya soka iko nyuma ya Yanga wasikubali Huu upuuzi wa Motsepe upite tutaonewa kila siku na kukosa mabilioni ya nusu fainali wakati nasisi tumewekeza

Wanayanga tuanzishe hashtags Twitter na Instagram kusema Motsepe must resign for the health of African football , Motsepe lazima asepe!
 
Yah kwa sababu hi nawaonya wanasias wa Tanzania kina mwanfa na Steve masele waache kuwadangany umma kuwa Kuna kitu tunaweza fanya ili kupittaa

Waache ujinga wa kiccm kwenye soka
Wanajilisha tu upepo.

Wanasiasa wanajua mpira una operate kwa sheria za nchi.
 
Matokeo hufutwa ikithibitika kulikuwa na match fixing. Tusubiri. Haijaisha hadi iishe. Ziko timu za Italy zishawahi kufutiwa matokeo. Hapa ni Yanga kufungua kesi FIFA kudai wahusika wa VAR na marefa wote wahojiwe mmoja mmoja wakiwatuhumu kwa match fixing. Swali kubwa ni kuwa kwanini VAR haikuonesha marudio ya picha kwa camera za angles zote. Pia refa aseme alipewa maelezo gani na nani toka VAR room na kwanini hakuyathibisha hayo maelezo kwa kuangalia tukio kwenye screen. Dunia ya soka iko nyuma ya Yanga wasikubali Huu upuuzi wa Motsepe upite tutaonewa kila siku na kukosa mabilioni ya nusu fainali wakati nasisi tumewekeza
Match fixed unaithibitisha kupitia maamuzi ya refa?

Ronaldo alifunga goli kama hilo pamoja na influence yake lakini bado lilikataliwa.

Sembuse Azizi Ki
 
Hata ikatokea wammiliki wa timu wamewanunua maarefa na wachezaji wa timu pinzanni bika wachezaji wenyewe kujua hiyo ni kosa kwa timu yote, ilitokea Italy na timu ilishushwa daraja sababu ya match fixing ambayo wala haikuhusisha wachezaji.
Una ushahidi wamiliki kuwanunua marefa au unazungumza kujifariji?
 
Hauna kitu unajua kuhusiana na VAR tafuta elimu ni bure bundle sio la kuangalia pornography na kuingia ista
Wewe ni kiazi... Kasome ww hizo taratibu za matumizi ya VAR.
 
Una ushahidi wamiliki kuwanunua marefa au unazungumza kujifariji?
Hayo yote yatajulikana iwapo Yanga watashitaki directly claiming for match fixing na itaendeshwa kesi na marefa wa kwenye pitch pamoja na wa VAR kuhojiwa. Haki haiombwi bali hudaiwa kwa nguvu. Yanga wasikubali kirahisi kupoteza mabilioni ya haki yao ya kucheza semi final.

Dunia nzima imeona corruption in football kwa refa kukataa goli halali na dunia iko nyuma yao maana hata matokeo ya kesi yatakuwa mjadala mwingine mkubwa CAF wataogopa kuonea second time.

Yanga wasishitaki refa wa kati tu washitaki benchi zima la CAF for match fixing upo uwezekano watashinda kesi kwa kuwa kuna maajabu ya soka, matokeo ya mechi yanaweza kufutwa na mechi ikarudiwa kwenye neutral ground
 
Sanasana atapewa adhabu refa mwisho wa siku lefa anaweza kupewa mpunga mrefu mambo yakaisha
 
Ndip hivyo hivyo unaweza kujiuliza pia kuwa kama lilikuwa goli mbona hakuruhusu mpira kati?

Jibu utalopata hapo ndio jibu hilo hilo litalojubu swali kwenye maamuzi ya kadi ya njano ya Lomalisa badala ya nyekundu
😅😅😅 Tukio lilikuwa tata Kama ilivyokuwa la Lomalisa as long as alivyofanya kwa Lomalisa why not kwenye tukio mhimu zaid ya hilo?.
 
Kuna silent check ambayo hutumia earpiece kufanya mawasiliano na control room

Hiyo inaweza kutumika kuamua tukio kwasababu ya kuokoa muda
Kwahiyo hilo tukio lilikuwa linachelewesha muda? Alikaa dk ngap kabla hajafanya maamzi?. So far it was unfear hata wachezaji wa Mamelod walionesha reaction pia refa.... VAR sio kitu hata km angeenda kuangalia alishapata maelekezo.
 
Sio kirahisi hivyo, timu zimewekeza mabilioni hapa hakuna mzaha, huu ni mziki mzito kwa CAF maana kuna ushahidi wa picha za video.

Na swali jingine Yanga waulize CAF kama refa alipewa maagizo na VAR room kuwa sio goli, basi VAR crew watalazimika kutoa ushahidi wa camera za angles zote zikithibitisha sio goli hadi wakamwambia refa alikatae, ikithibitika walisema uongo kwa refa kesi ya match fixing ianze. Yaani Yanga waombe kuwepo kwenye mahojiano ya CAF na VAR room crew wa jana, waseme na kutoa ushahidi wa video kuwa walitumia vigezo Gani kumwambia refa lile sio goli, na refa aseme aliambiwa nini na VAR room na kwanini hakuangalia matukio kwa kuomba VAR wamuoneshe,

Yanga fans wakomae na malalamiko mwaka mzima kwenye pages za CAF hadi huu uhuni wa Motsepe iwe mwisho
Sanasana atapewa adhabu refa mwisho wa siku lefa anaweza kupewa mpunga mrefu mambo yakaisha
 
😅😅😅 Tukio lilikuwa tata Kama ilivyokuwa la Lomalisa as long as alivyofanya kwa Lomalisa why not kwenye tukio mhimu zaid ya hilo?.
Sio necessary

Hiyo ni hoja dhaifu sana kama ndio mtepeleka utetezi wa aina hiyo kudai haki yenu basi mtakuwa ignored kirahisi
 
Sheria zipo hapa ... Matokeo yanaweza kufutwa coz hii ni fixed match .. na mmiliki wa timu ni Rais wa chama Cha soka.
Nini kinathibitisha kuwa ni fixed match na sio makosa ya refa ?
 
Kwahiyo hilo tukio lilikuwa linachelewesha muda? Alikaa dk ngap kabla hajafanya maamzi?. So far it was unfear hata wachezaji wa Mamelod walionesha reaction pia refa.... VAR sio kitu hata km angeenda kuangalia alishapata maelekezo.
Wakuamua hivyo ni refa. Speculation zako haziwezi ku interfere majukumu ya refa
 
mbona EPL wanapokwa pointi wao wanatumia kanuni ipi au mpira wa Africa unasheria zake? umesahau ile ya simba kuchezesha mchezaji asiye stahiki? bado yanga wakipanga karata vzr wanaweza wakapindua meza kibabe, staki kuamini kuwa VAR inakuwa ARV
Ni timu ipi ilipokwa point kutokana na makosa ya refa ?
Everton walipokwa point kutokana na kukiuka sheria ya FFA. Kwa sasa wanaendelea kuichunguza Man city japo kuna tetesi huenda wakabadirisha sheria. Hapo ndio ujue mwenye pesa si mwenzako.
Ili timu ipokwe point inapaswa kosa lithibitike limefanywa na timu husika. Mfano wangemchezesha mchezaji asiyetakiwa kucheza.
Kosa la jana ni kosa la mwamuzi sio kosa la timu. Achaneni na motivational speakers wanaowadanganya. Hapo sana sana refa atafungiwa kwisha habari
 
Back
Top Bottom