FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
Hata ikatokea wammiliki wa timu wamewanunua maarefa na wachezaji wa timu pinzanni bika wachezaji wenyewe kujua hiyo ni kosa kwa timu yote, ilitokea Italy na timu ilishushwa daraja sababu ya match fixing ambayo wala haikuhusisha wachezaji.Matokeo kufutwa hutokana na kosa kufanywa na wachezaji
Wahusika wa hilo kosa ni marefa sio wachezaji
Hilo haliwezi kutokea hata siku moja.