Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wanatumia nini ilihali wengine wanatumia macho?Jielimishe bruv.
Una kifaa kina internet. You are just fingertips away from knowing every single thing.
Hauna haja ya kuandika neno makalio mara kwa mara ukadhani hoja yako ndiyo itaeleweka. Unatia kinyaa.
Kukujibu swali lako.
Hawatumii makalio, hawatumii macho pia.
FIFA wenyewe wana tuhuma zao za ku Fix kombe la Dunia kui favor ArgentinaLabda ukute Malinzi ndiye anaongoza FIFA
Hivi unaelewa faulo ya Lomalisa ilipaswa kuamuliwa kwa red card?Kwanini lisittokee?, Sheria matokea yanahusishwa na match fixed na mhusika mkuu ni sehemu ya umiliki wa timu iliyopewa ushindi wa Bure... Ushahidi wote unaonesha refa alikuwa amepata maelekezo, VAR ipo kumsaidia refa, kama alikwenda kuangalia faulo ya Lomalisa why not Gori lenye utata.
Unathibitishaje?vipi kama Mamelody wakituhumiwa kwa kupanga matokeo? Adhabu ya kupanga matokeo Una ijua?
Unathibitishaje?Hata ikatokea wammiliki wa timu wamewanunua maarefa na wachezaji wa timu pinzanni bika wachezaji wenyewe kujua hiyo ni kosa kwa timu yote, ilitokea Italy na timu ilishushwa daraja sababu ya match fixing ambayo wala haikuhusisha wachezaji.
Mechi ya spursMkiambiwa angalieni na mechi za nje hamuelewi.
Arsenal alifungwa goli ambalo macho yaliona mpira umetoka var ikasema haujatoka.
Juzi spurs kakataliwa goli ambalo macho yaliona mpira umevuka mstari ila var ikagoma.
Na haina kukata rufaa.
We jamaa vipi?, kama ilikuwa Red card mbona hakutoa?, hakwenda kujiridhisha kwenye VAR? Why not goal la Azizi?. Tumia akili hapo kidogo kwahiyo refa ana timu? Kwanini ashindwe kutumia nyezo za kumsaidia palipo na utata?. Kuna uhusiano wa moja kwa moja Kati ya Refa+Wasaidizi na VAR room katika kufix hii mechi.Hivi unaelewa faulo ya Lomalisa ilipaswa kuamuliwa kwa red card?
Refa na wasaidizi wake ndio wataokuwa kwenye kikaango pindi case ikifika kwenye mikono ya FIFA.
Narudia tena. Uhusika wa timu kwenye kufanya fraud ndio njia pekee ambayo inaweza kutumika kubatilisha matokeo.
Vinginevyo adhabu itaishia kuwalenga waamuzi tu then kusiwe na changes zozote.
VAR inatumika wapi? Au ni matukio gani hufanya refa atumie VAR?. Kwamba lile Goal alijilidhisha kuwa sio goal wakati yeye mwenye hakuwa eneo sahihi?.Unathibitishaje?
Hivi unajua kusema Mamelodi walikuwa kitu kimoja na refa kwasababu mliona refa hakuenda kucheki VAR hiyo ni assumption?
Kumbe ni Gori?.Huku gsm anavyonunua mechi hamuoni?karma hiyo
Wewe ndio mpuuzi kabisa!! N Mara ngapi VAR inaonesha Gori au sio Gori na refa anakubali?. Au hujuiaana VAR?.sheria ya kuamua goal kwa techonology ni kutumia goal line sio VAR ,VAR inaangalia makosa kwenye goal ,hao waamuzi walijichanganya wakaona wakikubali goal kwa kutumia VAR watafungiwa ndio maana referee akafuta kila kitu kwa kuweka mikono juu ❌
Hauna kitu unajua kuhusiana na VAR tafuta elimu ni bure bundle sio la kuangalia pornography na kuingia istaWewe
Wewe ndio mpuuzi kabisa!! N Mara ngapi VAR inaonesha Gori au sio Gori na refa anakubali?. Au hujuiaana VAR?.
.Sheria zipo hapa ... Matokeo yanaweza kufutwa coz hii ni fixed match .. na mmiliki wa timu ni Rais wa chama Cha soka.
Huu ni utetezi mwepesiNakubaliana na wewe, lakini ili kukomesha hila za Motsepe Yanga file case ya malalamiko na ushahidi.
Refa alikwenda kuangalia VAR ili ampe Kadi nyekundu Lomalisa, lakini kwenye goli lenye utata hakwenda hata kujiridhisha kuna Siri gani?
Kuna silent check ambayo hutumia earpiece kufanya mawasiliano na control roomVAR inatumika wapi? Au ni matukio gani hufanya refa atumie VAR?. Kwamba lile Goal alijilidhisha kuwa sio goal wakati yeye mwenye hakuwa eneo sahihi?.
Ndip hivyo hivyo unaweza kujiuliza pia kuwa kama lilikuwa goli mbona hakuruhusu mpira kati?We jamaa vipi?, kama ilikuwa Red card mbona hakutoa?, hakwenda kujiridhisha kwenye VAR? Why not goal la Azizi?. Tumia akili hapo kidogo kwahiyo refa ana timu? Kwanini ashindwe kutumia nyezo za kumsaidia palipo na utata?. Kuna uhusiano wa moja kwa moja Kati ya Refa+Wasaidizi na VAR room katika kufix hii mechi.
Labda kanuni zibadilishwe tu ila yanga kupewa ushindi tusahauYaani ni jambo la ajabu sana kukataaa goal la wazi km hili how yaani var ikatae hii ni aibu sana kwa rais wa caf matsope sijui na team yake ya mamelod yaani ni aibu kwenye mpira wa africa kabisa.
Mimi nataka kujua haiwezekani kukata rufaa kama umedhulumiemwa kwenye hatua hizi za robo fainali champions caf??
View attachment 2955100
Yah kwa sababu hi nawaonya wanasias wa Tanzania kina mwanfa na Steve masele waache kuwadangany umma kuwa Kuna kitu tunaweza fanya ili kupittaaMaamuzi yakitolewa na refa hata kama ya kuonewa huwezi kuyabadilisha kukupa faida ile ambayo ungeweza kuipata endapo refa angefanya fair.
Maana yake ni kwamba there's no way Mamelodi wanaweza kuwa watuhumiwa kwenye hili tukio na kwa maana hiyo hakuna maamuzi ambayo yatailenga Mamelodi hata kama kesi ikionesha kweli Yanga imedhulumiwa.
Hapo mhanga ni refa na timu yake ya VAR kule control room ambao hao hawana impact kihivyo tofauti na timu
Kwenye adhabu za FIFA hata wakimfungia refa bado hawawezi kubatilisha matokeo kuipa advantage Yanga.
Kwasababu Mamelodi watajitetea kuwa ni makosa ya refa sio wao hivyo hakuna sababu yoyote ya wao kuhusishwa kwenye adhabu ambayo imetolewa kutokana na makosa ya refa.