Hivi hakuna namna Yanga wanaweza kukata rufaa FIFA?

Maamuzi yakitolewa na refa hata kama ya kuonewa huwezi kuyabadilisha kukupa faida ile ambayo ungeweza kuipata endapo refa angefanya fair.

Maana yake ni kwamba there's no way Mamelodi wanaweza kuwa watuhumiwa kwenye hili tukio na kwa maana hiyo hakuna maamuzi ambayo yatailenga Mamelodi hata kama kesi ikionesha kweli Yanga imedhulumiwa.

Hapo mhanga ni refa na timu yake ya VAR kule control room ambao hao hawana impact kihivyo tofauti na timu

Kwenye adhabu za FIFA hata wakimfungia refa bado hawawezi kubatilisha matokeo kuipa advantage Yanga.

Kwasababu Mamelodi watajitetea kuwa ni makosa ya refa sio wao hivyo hakuna sababu yoyote ya wao kuhusishwa kwenye adhabu ambayo imetolewa kutokana na makosa ya refa.
Umeelezea vzr sana mkuu. Namna pekee ya yanga kutoboa labda awe na uthibitisho wa upangaji matokeo mfano sms au voice note za upangaji matokeo
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaan wao wamekuja kupewa stahiki yao kwenye match muhimu.
Inaumajeeee sasa, woiiiiiih
Naona umeamua kuwakalia kooni, angalia wasije kukutumia Majini. Kila wakifurukuta unao.
 
mbona EPL wanapokwa pointi wao wanatumia kanuni ipi au mpira wa Africa unasheria zake? umesahau ile ya simba kuchezesha mchezaji asiye stahiki? bado yanga wakipanga karata vzr wanaweza wakapindua meza kibabe, staki kuamini kuwa VAR inakuwa ARV
Wakapindua meza kibabe uongo🤣🤣🤣🤣
 
Hiyo silent check ni matukio ya kitoto Kama hoja yako ilivyo hoja yako.... Sio tukio kubwa kama Hilo kwa mechi yenye uzito wa robo fainal.
Tukio kubwa unalipimaje?

Ni ipi SI unit ya kuamua hili tukio kubwa na hili dogo?
 
Katika sura ya Sheria hakuna hoja dhaifu ikiendana na mazingira ya mechi ... Yote haya n matukio yaliyotokea uwanjani... Why hayakupewa uzito sawa wakati yote yamekuwa na utata?.
Kama hakuna hoja dhaifu kwanini hakimu anaposoma hukumu hutamka wazi kuwa ametupilia mbali hoja fulani?
 
Yote kwa yote matokeo hayato badilika tuendelee kuugulia maumivu yetu.
 
Maamuzi yakitolewa na refa hata kama ya kuonewa huwezi kuyabadilisha kukupa faida ile ambayo ungeweza kuipata endapo refa angefanya fair.

Maana yake ni kwamba there's no way Mamelodi wanaweza kuwa watuhumiwa kwenye hili tukio na kwa maana hiyo hakuna maamuzi ambayo yatailenga Mamelodi hata kama kesi ikionesha kweli Yanga imedhulumiwa.

Hapo mhanga ni refa na timu yake ya VAR kule control room ambao hao hawana impact kihivyo tofauti na timu

Kwenye adhabu za FIFA hata wakimfungia refa bado hawawezi kubatilisha matokeo kuipa advantage Yanga.

Kwasababu Mamelodi watajitetea kuwa ni makosa ya refa sio wao hivyo hakuna sababu yoyote ya wao kuhusishwa kwenye adhabu ambayo imetolewa kutokana na makosa ya refa.
Kwa kupanga matokeo unanyang'anywa point mkuu
 
utopolo si mliwadhulumu Kagera sugar Wacha muisome namba muone dhuluma inavyouma
 
Mimi naona jumatatu mashabiki wa yanga waandamane kwenda kwa mama kama kawaida yao ili apate kulitazama na hili haiwezekani wananchi wanyonge wananyang'anywa haki yao kwa nguvu.
 
Wewe

Wewe ndio mpuuzi kabisa!! N Mara ngapi VAR inaonesha Gori au sio Gori na refa anakubali?. Au hujuiaana VAR?.
Jifunze kutulia R na L ndio tujadiliane
 
Kolo tulia hapo VAR hakuna ulitakaje? Halafu goli lenyewe haliumi goli la tano bila, ndo maana mwenye akili mmoja tu Rage wengine wote mbumbumbu including you au unabisha?

Ingekuwa ni Simba imefanyiziwa kama Jana semaji lenu angeandika barua kwa Biden, Putin , Malkia na mbumbumbu wote mngeandamana hadi UN, tunawajua makolo kwa makelele, mmekandwa na Al Ahly ndani nje mmetulia tuliiiii!!
Hapa mlichekelea sana kwa hiyo tulia ukijitingisha Sindano itakatikia humo
 
Attachments

  • VID-20240406-WA0054.mp4
    2.3 MB
Maamuzi yakitolewa na refa hata kama ya kuonewa huwezi kuyabadilisha kukupa faida ile ambayo ungeweza kuipata endapo refa angefanya fair.

Maana yake ni kwamba there's no way Mamelodi wanaweza kuwa watuhumiwa kwenye hili tukio na kwa maana hiyo hakuna maamuzi ambayo yatailenga Mamelodi hata kama kesi ikionesha kweli Yanga imedhulumiwa.

Hapo mhanga ni refa na timu yake ya VAR kule control room ambao hao hawana impact kihivyo tofauti na timu

Kwenye adhabu za FIFA hata wakimfungia refa bado hawawezi kubatilisha matokeo kuipa advantage Yanga.

Kwasababu Mamelodi watajitetea kuwa ni makosa ya refa sio wao hivyo hakuna sababu yoyote ya wao kuhusishwa kwenye adhabu ambayo imetolewa kutokana na makosa ya refa.
Yanga wanataka kuleta tabia za kike kwenye mpira, utadhani wao ndio wa kwanza kudhulumiwa au hakuna timu imewahi kudhulumiwa na refa na maamuzi yakawa mazuri kwa Yanga
 
Back
Top Bottom