Hivi hakuna namna Yanga wanaweza kukata rufaa FIFA?

Picha ya kwanza mpira ndio umedunda, picha ya pili mpira unarudi juu baada ya kudunda, pia hapa usipoelewa basi Mzungu atakuwa amekushika ufahamu wote.
 

Attachments

  • CC68C245-7C7F-44B8-A53F-E808B181FFCD.jpeg
    23.8 KB · Views: 1
  • EF252F3A-99CF-4A1D-9337-442DC2C22257.jpeg
    24.3 KB · Views: 1
Mshafungwa full stop..mngefunga goal 2 zaidi mngeshindwa wapi?
 
Upo sahihi [emoji817]%
nilitaka kuandika ivoivo umeniwahi
huo ndio ukweli wenyewe japo mchungu
 
Sasa dogo, utachunguza incident bila kuchunguza kilichosababisha incident? Kwani watakapoita marefa wajitetee si wataulizwa nini kilisababisha wakaona tofauti na kilichopo kwenye video? Refa mkuu nae si ataulizwa nini kilipelekea akaangalia VAR kwenye scenario ya Lomalisa ila akagoma kuangalia kwenye scenario ya goli la Aziz Ki? Sasa kitendo tu cha kuhojiwa hayo maswali si uchumguzi huo tayari? Maana mmoja kwenye kuijibu anaweza kujikanyaga na kumtaja Motsepe.., au unadhani uchunguzi ni hadi waitwe CIA? Kwenye kanuni zao wameweka wazi kabisa kwamba shutuma zikiletwa watafanya uchunguzi!
 
Kama yanga italalamika kuhusu kunyimwa goli,hayo unayosema ndio yatakuwa maamuzi ya caf au fifa.lkn kama yanga italalamika kuhusu kupanga matokeo,maamuzi yataikumba mamelodi mojamoja kwa moja pamoja na motsepe.
 
Kama yanga italalamika kuhusu kunyimwa goli,hayo unayosema ndio yatakuwa maamuzi ya caf au fifa.lkn kama yanga italalamika kuhusu kupanga matokeo,maamuzi yataikumba mamelodi mojamoja kwa moja pamoja na motsepe.
upo sawa
shida iliyopo hakuna ushaidi wa kuwaunganisha hao mamelodi
 
Kwanza mi sio dogo naweza nikawa baba yako mkubwa kwa hiyo jifunze kuwa na matumizi sahihi ya mdomo au keyboard.

Pili unaonekana kwenye mpira ni mambo mengi huyajui.

Sheria za mpira zinatambua makosa ya kibinadamu. Kosa moja la kufanya maamuzi mabaya halifanyi awe refa mbaya.

Hao CAF waliompa hiyo mechi achezeshe waliangalia background yake na kujiridhisha kuwa anamudu kuchezesha hiyo mechi.

Kuhusu VAR kwanza unapaswa ujue role ya VAR

Refa alifanya maamuzi kupitia VAR. Alifanyaje?

Kwenye VAR kuna vitu viwili. Kuna review na check.

VAR Review inafanyika control room na marefa wasiopungua watatu ambao wanakuwa wanachunguza hilo tukio kwa umakini.

Kisha wanawasiliana na refa ambaye yupo kwenye field wakimpa maelekezo ya tukio lilivyokuwa, kisha yeye anakuja kufanya maamuzi.

Hiyo pia ni VAR decision.

Lakini pia kuna VAR review ambayo hii ndio inamuhitaji refa atike uwanjani akaangalie kwenye screen replay ya tukio.

Hivyo vyote vikifanyika vinahesabika ni maamuzi ya VAR.
 
Kama yanga italalamika kuhusu kunyimwa goli,hayo unayosema ndio yatakuwa maamuzi ya caf au fifa.lkn kama yanga italalamika kuhusu kupanga matokeo,maamuzi yataikumba mamelodi mojamoja kwa moja pamoja na motsepe.
Malalamiko yanapaswa kuambatana na ushahidi.

Wanaolalamika kuwa ni goli wana ushahidi wa video inayoonesha mpira ukivuoa goal line.

Sasa malalamiko ya kupanga matokeo yanakuwa supported na ushahidi upi?
 
Sawa, ila watahojiwa, na kitendo cha kuhojiwa ni uchunguzi huo. Tusubiri matokeo ya uchunguzi wa hii alleged ‘match fixing’.
 
Mwenzio ameenda semi final tayariii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Naona umeamua kuwakalia kooni, angalia wasije kukutumia Majini. Kila wakifurukuta unao.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kabla hayajafika kwangu, yatakua yamesharudi kwao wenyewe.
 
Kwa hiyo kwenu mwenye akili mmetuzidi mmoja eeh. Nasubiri nione mkivushwa kwenda nusu fainali.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…