Hivi hakuna njia nyingine ya kupunguza Vitambi/Mafuta mwilini?

Acha kunywa Pombe huo ndo ushauri wangu mna mnywaji pombe humfanya awe na kitambi
 
Unachukua kahawa ya unga na limao ...... unachemsha maji glass moja unakamua limao unaweka vijiko 2 vya kahawa unakoroga unakunywa.....asubui kabla ujala na usiku
Kuna specific kahawa au yoyote tu
 
Wengi wenye vitambi Ni walafi mno.
Asilimia kubwa Ni wapenzi wa kula viporo.

Kiporo hakijawahi muacha mtu salama.

Chunguza hata watoto wadogo wa vijijini wanafakamia viporo,
Wanavitambi utadhani watu wazima.
Vijijiji watu Wana shida za unyafuzi
 
Fanya plunking kila siku asubuhi na jioni hata kwa dakika 5 tu na matokeo yake ni ya uhakika wewe mwenyewe utashangaa.

Wenyewe wanakuambia plunking is the shortest execise in the wolrd.
Plunking ndo nn mkuu, naomba Elimu🤝
 
Plunking ndo nn mkuu, naomba Elimu🤝
Anamaanisha Plank, aina ya zoezi, ila zoezi hili haliwezi kuondoa kitambi, hauwezi kupunguza mafuta kwa kufanya spot reduction kama niliivyoeleza hii ni myth. Sio zoezi baya kujenga misuli ya core kwa ujumla ila pia ni advanced kidogo.

 
Tatizo kubwa la sisi watz ni kurahisisha Mambo haswa mtu atakuambia kupunguza kitambi mbona ni simpo Sana fanya skwashi itapunguza kitambi chako ..mwingine kunywa maji ya Moto...lakini hivyo vyote ni uwongo mkubwa kabisa .haiwezekani ukafanya mazoezi ya kupunguza sehemu moja ya mwili alafu sehemu nyingine zibaki Kama zilivyo huu ni uwongo wa Karne ...hoja ni rahisi tu kitambi huwa kinapungua pale ambapo mwili wote upungua ... Maana yake kwamba unapopunguza uzito wa mwili na sehemu ya tumbo inapungua so ukitaka kupunguza kitambi inabidi utengeneze programu ya kupunguza body weight...lakini ukisema dawa za dokta ndodi au docta mwaka sijui docta kajamba Nani utadhulumiwa...na Kuna watu wengi wamekufa kwa kupotoshwa na Dr njaa...njia ya pili Niya mazoezi ya kujenga misuli ya mwili . Ambapo utatakiwa unyanyue vitu vizito ambapo itasaidia kujenga misuli ya sehemu mbalimbali za mwili ikiwemo tumboni.....kwa experience yangu mtu ambaye amefanikiwa kupunguza tumbo ni witness aliyekuwa msanii wa hip hop...
 
Samahan mkuu.. hivi mtu akiacha vyakula vya wanga ale nini sasa?

Nataman nipate mlo mbadala wa wanga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na mimi nataka ni nenepe kwa haraka najiona mwembamba .nitumie vyakula vya haina gani kwa wingi
 
Tumia mertfomin hutojutia!, Mm nilianza kwa 250 gram once per day nkila chakula Cha mchana nikiri kwamba from 125 now 80 Ila niliandikiwa na daktar.
Kwa Sasa nilishaacha hizo dawa tangu nkiwa na kg 112
 
Naomba kujua hayo madawa ya kuarisha Mafuta nianze nayo.
 
Kunajamaa yangu hapa anakula nyagi balaa ili eti apungueze mwili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…