JARIBU HII NJIA YA KUPUNGUZA MUDA WA KUWEKA CHAKULA.MWILINI
INAITWA INTERMITTENT FASTING (16/8)
.The practice of 16/8 intermittent fasting involves limiting your intake of foods and calorie-containing beverages to a set window of 8 hours per day. You abstain from food for the remaining 16 hours, though you're still allowed to drink water and other no-calorie beverages, like plain coffee or tea.
INAFANYAJE KAZI
hapa ni unaacha kunywa chai pekee asubuh
Unakula kuanzia saa 6 mchana adi saa 2 usiku
Then
Unaacha kula kuazia saa 3 usiku adi kesho yake saa 6 mchana ama saa 7 mchana
(Hapo umefunga kwa masa 16)
Na muda ule wa masaa 8 kula chochote utakacho.hakuna ukomo wa chakula ila yale masaa 16 ya kufunga unatumia maji.kahawa ama chai isiyo na sukari.na usinywe hata soda
.Binafsi natumia njia hii mwezi wa pili sasa na zimepungua Kg 6 tangu nimeanza
Ukiwa na nafasi kuna Application
Playstore zinaongoza kufanya hii kitu
Cheers.