Hivi hamsomi mazingira? No way tutamuona akiwa live tena!

Hivi hamsomi mazingira? No way tutamuona akiwa live tena!

Halafu ikaishia wapi? Acheni kumfuatilia britanicca huyu ndiyo anawalengesha wanaharakati kisha wanakamatwa na kuuliwa na akina Mafwele
Na kwanini Mafwele aue wanaharakati?

Tangu lini kufanya harakati ni kosa , nipe kifungu cha sheria kinachosema harakati ni kosa na adhabu ya harakati ni kuuwawa.

Hapa umekiri Mafwele ni muuaji hivyo muuaji ndio anatakiwa kufunguliwa mashtaka hata ile ban aliyowekewa kuingia US walikua sawa maana liuaji linaweza kuhatarisha maisha ya watanzania waishio US likiingia sababu tu wanafanya harakati.
 
Polis wakishamaliza kukumaliza au kukuweka kwenye target alafu wakasema wanakutafuta ndo imeisha hiyo!

Tarehe 12 ikipita tu bila kusema ndo wanaye hatutakuwa na haja ya kuhangaika naye Bali tutatakiwa kuhangaika na mifumo ambayo inasababisha haya! Kuanza na Mafwele! Hilo Liwe wazi

Same scenario! saa nane! Same scenario Lajwabe, same scenario Mdude, and I warned Huyu bwana Tena sana nilimwambia toka hapo na kuwa makini zaidi,

Kuna muda nilikiwa nalaumu watu wanakuwa magaidi au wahasi sasa inanipa mwanga kwamba kwanini watu udai haki kwa upanga!

Kwanini watu uchoma ikulu, kwanini huchoma Bunge, kwanini watu hulipua maraisi kwanini watu huua wanafamilia wa viongozi, ni kwasababu ya haya!

Nina uhakika uchaguzi hautafanyika na ukifanyika basi mizinga 21 itapigwa ya kumuapisha mtu na ndani ya masaa kadhaa kwenye kadamnasi mtashuhidia Mara ya kwanza inatokea jambo ambalo lite weka historia.

Cha msingi mjue hakutakuwa na cha Makamu kushika hatamu naye atakuwa miongoni mwa wanaotakiwa kuchimbiwa futi sita

Mengine tuyaandike bila uwazi sana kwakuwa what is coming is very very important for the sake of the nation!
TUMECHOKAAAAAA 😭😭😭😭


Britanicca
Basi kuna watu wanakuamiini mwenyewe
 
Mkidhan Natania
Baada ya siku 3 kupita kama nilivyokua nimesubiria niliamini jamaa walimuua.

Lakini baada ya kuangalia zile video vizuri na kuona kiasi cha damu zile niliona ni kwamba walimuua pale pale katika purukushani za kupambana nae walimjeruhi kichwani kama walivyofanya kwa Mdude maana huenda ndio aina mpya ya maelekezo kupambana na mtu anayeleta upinzani wakija kumteka.

Wasichokijua ni kwamba wamemuua Polepole ila hawajaua mawazo yake wala kauli zake , jana nilikua napitia video kadhaa kati ya nyingi zilizopo mtandaoni unaona kabisa kuna siku kuna watu watafungwa na rejea katika ushahidi ni hizo hizo video ambazo hawataweza kuzifuta maana ziko mtandaoni na uwezo wao wa mwisho ni kumuua mtu ila sio kauli zake.
 
Napenda iwe hivyo,ila ninakuhakikishia kuwa Mungu alisha[ga] iacha Tanzania muda mrefu sana hata hashughuliki nayo tena.
Hapana Mimi naamini Mungu Bado yupo na sisi....nikama kipindi cha Wana wa Israel walipofika hatua ya kuanza kujitengenezea miungu yao wakiamini ya kwamba Mungu kashawaacha kumbe ni Mungu anawapitisha ktk mitihani na mwisho wa siku Mungu alijitwalia sifa na utukufu kwao....vivyo hivyo nasi twapitia mitihani km nchi Kwa makusudi Fulani km Nchi
Time will tell
 
Na kwanini Mafwele aue wanaharakati?

Tangu lini kufanya harakati ni kosa , nipe kifungu cha sheria kinachosema harakati ni kosa na adhabu ya harakati ni kuuwawa.

Hapa umekiri Mafwele ni muuaji hivyo muuaji ndio anatakiwa kufunguliwa mashtaka hata ile ban aliyowekewa kuingia US walikua sawa maana liuaji linaweza kuhatarisha maisha ya watanzania waishio US likiingia sababu tu wanafanya harakati.
Swali Zuri umemuuliza huyo bwege
 
Mkuu Burita, britanicca ,unless kama haya maneno yako ni unabii, lakini naomba nikuhakikishie, uchaguzi mkuu upo, utafanyika, hakuna maandamano yoyote, Rais Samia ataapishwa kwa mitano tena na atapokelewa kijiti na Nchimbi
Thread 'Kumweleza Ukweli, Mtu Anayedanganywa ni Kumsaidia!, Asante Balozi Dr. Nchimbi Kuwaambia Ukweli CHADEMA' Kumweleza Ukweli, Mtu Anayedanganywa ni Kumsaidia!, Asante Balozi Dr. Nchimbi Kuwaambia Ukweli CHADEMA

Thread 'Kuna Vitu Ili Maisha Yaende, Lazima Upige!, Usipopiga, Utapigiwa! na Maisha Yataendelea!. Sasa Kati ya Kupiga na Kupigiwa, Bora Kipi? Nakushauri Piga!' Kuna Vitu Ili Maisha Yaende, Lazima Upige!, Usipopiga, Utapigiwa! na Maisha Yataendelea!. Sasa Kati ya Kupiga na Kupigiwa, Bora Kipi? Nakushauri Piga!

Thread 'Je Wajua Kura Yako Ndio Inamuajiri Rais wa JMT na Serikali Yake Yote?. Hivyo Wewe Ndiye The Big Boss, Rais ni Mtumishi Wako!. Asikudangaye Mtu Usipige' Je Wajua Kura Yako Ndio Inamuajiri Rais wa JMT na Serikali Yake Yote?. Hivyo Wewe Ndiye The Big Boss, Rais ni Mtumishi Wako!. Asikudangaye Mtu Usipige

Thread 'Ee Mungu Baba Wasamehe maana hawajui watendalo! japo sasa wako moto sana! baada ya uchaguzi, sio kwisha habari yao?Sio watalia sana na kusaga meno?' Ee Mungu Baba Wasamehe maana hawajui watendalo! japo sasa wako moto sana! baada ya uchaguzi, sio kwisha habari yao?Sio watalia sana na kusaga meno?

Nakufungulia na maktaba yangu yote ya uchaguzi kuwa upo!


P
Kumbe Mzee Pascal hauko vizuri sana kwenye hizi mambo maana hapa naona uliingia chaka
 
Si kweli? Then sababu hasa ni ipi iliyowafanya wapore uchaguzi? Sababu hasa ni ipi/zipi zinazowafanya waogope to compete fairly on a fair battle-field?
Kama si kuogopa kushindwa sababu ni ipi/zipi?
It is just the continuation of the anatomy of stupidity!.
Kwa the political dynamics and the political landscape ya siasa za nchi yetu, it is only the fools ndio anaweza kuamini na kuogopa kuwa CCM inaweza kushindwa uchaguzi kwenye box la kura, to warrant killing all those innocent victims!.

P
 
It is just the continuation of the anatomy of stupidity!.
Kwa the political landscape ya siasa za nchi yetu, it is only the fool ndio anaweza kuamini na kuogopa kuwa CCM inaweza kushindwa uchaguzi to warrant killing all those innocent victims!.

P
Themselves, CCM cronies ndiyo wanaoogopa otherwise wangeachia fair contest ili jamii na dunia vijionee jinsi wanavyokubalika.
 
Themselves, CCM cronies ndiyo wanaoogopa otherwise wangeachia fair contest ili jamii na dunia vijionee jinsi wanavyokubalika.
Niliwahi kushauri humu, tuongeze baadhi ya vigezo kwenye sifa za uongozi wetu wa juu, ikiwemo kiwango cha IQ fulani, ili rais wetu akishauriwa ujinga na wajinga, awe na uwezo wa kubaini kuwa huu ni ujinga!. Uhaini My God!. Kuna Uwezekano Anadanganywa na Kadanganyika? I Don't Believe This!. Sitatizwi na Uongo Wao, Natatizwa na The Motives Behind Such Lies!
Kuna majinga fulani yanamdanganya mtu wetu, na yeye anaingia kingi kichwa kichwa, mzima mzima mazima!.
P
 
Back
Top Bottom