misasa
JF-Expert Member
- Feb 5, 2014
- 17,894
- 14,783
Na tukiwauliza baada ya kumuondoa Polepole, Ben,Chaula, wamefanikiwa nini?Uko sahihi kabisa, naamini kati ya vitu wanatamani kuvifutilia mbali ni hili jukwaa. Wao hata hawajali kuwa kuna majukwaa mengi humu Jf na yanatoa elimu na connections kwa watu kama jukwaa la biashara, uchumi, historia nk...wao wanachojali ni watu wao wasisemwe kwa lolote baya na yotote anayesema baya kwa mtu wao ni adui na salama yake ni kuondolewa kama Polepole