Hivi hamsomi mazingira? No way tutamuona akiwa live tena!

Hivi hamsomi mazingira? No way tutamuona akiwa live tena!

Polis wakishamaliza kukumaliza au kukuweka kwenye target alafu wakasema wanakutafuta ndo imeisha hiyo!

Tarehe 12 ikipita tu bila kusema ndo wanaye hatutakuwa na haja ya kuhangaika naye Bali tutatakiwa kuhangaika na mifumo ambayo inasababisha haya! Kuanza na Mafwele! Hilo Liwe wazi

Same scenario! saa nane! Same scenario Lajwabe, same scenario Mdude, and I warned Huyu bwana Tena sana nilimwambia toka hapo na kuwa makini zaidi,

Kuna muda nilikiwa nalaumu watu wanakuwa magaidi au wahasi sasa inanipa mwanga kwamba kwanini watu udai haki kwa upanga!

Kwanini watu uchoma ikulu, kwanini huchoma Bunge, kwanini watu hulipua maraisi kwanini watu huua wanafamilia wa viongozi, ni kwasababu ya haya!

Nina uhakika uchaguzi hautafanyika na ukifanyika basi mizinga 21 itapigwa ya kumuapisha mtu na ndani ya masaa kadhaa kwenye kadamnasi mtashuhidia Mara ya kwanza inatokea jambo ambalo lite weka historia.

Cha msingi mjue hakutakuwa na cha Makamu kushika hatamu naye atakuwa miongoni mwa wanaotakiwa kuchimbiwa futi sita

Mengine tuyaandike bila uwazi sana kwakuwa what is coming is very very important for the sake of the nation!
TUMECHOKAAAAAA 😭😭😭😭


Britanicca
Ngoja tutunze huu uzi wako Ili mama akiapishwa na uchaguzi kufanyika tuje kukuonesha hapa hapa jamvini...maana wewe ni Mr.ramli chonganishi
 
Ya Mdude ni makubwa sana.
Haya ndio yawe mfano.

Alikuwa ana tukana na kuongelea vibaya kwa Viongozi wa ngazi zote.
Kuanzia Wilayan Had kwa Raisi.
Amepotezwa na huwez jua amri imetoka kwa nani.

Kumbuka Sativa alivyokamatwa aliulizwa "umemuudhi kiongoz gan? Na wale waliomkamta.
Na baadae alivyofatwa na Mafwele pale osterbay karakana na Mafwele kukonfirm kuwa ni Sativa . Na Mafwele akaaondoka. Wale majamaa waliomkamata wakamwambia "itakuwa umemkosea mtu mkubwa sana. Maana mpaka boss amekuja " .

Ila sasa wale waliomchukua asubuh swali likawa lingine.

Hii inaonyesha kuwa hoja yao ni kuchunguza ni nani anawasaliti ili wamuwekee vikwazo.
Kwaiyo kutukana adhabu yake ni kifo?
 
Ni kweli inafika muda mtu unaona ni afadhali kuumizana kuliko kuheshimiana kwa unafiki! Hasa pale mtu unaemuheshimu anapojipa Uungu wakati ni binadamu kama mimi tu! POLEPOLE alikosoa kwa adabu kuliko mkosoaji yeyote niliewahi kumsikia hapa nchini, ila bado wamemtenda kwa ukutili mkubwa nanmna hii? Hii haitaenda bure!
wabongo tuna hasira sana mitandaoni ila kutoka front kudai tunachotaka ndio tumeshindwa tunaishia kuandika tu mitandaoni kwa uchungu hapa nachokiona ni hakuna maandamano wala nini labda tuombe tu jeshi lichukue nchi ila maandamano october ni hayapo narudia tena ni hayapo
 
wabongo tuna hasira sana mitandaoni ila kutoka front kudai tunachotaka ndio tumeshindwa tunaishia kuandika tu mitandaoni kwa uchungu hapa nachokiona ni hakuna maandamano wala nini labda tuombe tu jeshi lichukue nchi ila maandamano october ni hayapo narudia tena ni hayapo
Haya wewe mbongo wa mitandaoni endelea kuogopa! Kama unaogopa ni wewe siye wengine tushakata shauri 29.10 hakuna kucheka na nyani yeyote! Halafu hizi tabia za kujifanya mnawajua sana watu na kuvunja watu moyo ni UNAFIKI, na ushamba kujifanya unamjua sana mtu wakati kila mtu anatembea na kichwa chake!
NB. Kama huamini watanzania wanaenda kubadilisha nchi yao, acha shobo za kujibu jibu mambo negative kwenye harakati za ukweli, sipendi unafiki.
 
Hilo Liwe wazi
Nyuzi zinazoanzishwa hapa jukwaani zingejikita kutoa mipango na utaratibu wa kunusuru maisha ya Ndugu Polepole. Kama hatima yake haijajulikana Sioni tija ya kuendelea na mjadala huu.

Labda kwa wale ambao wanaamini kuwa nyikani Kuna sungura wenye usungura zaidi ya wenzao!!!
 
@britanica ulicho andika nachelea kusema kuwa ni upuuzi na wendawazimu. Mimi siwakubali ccm ila fikra zako sioni haja ya kufanya unachofikiria kwa sababu tumekosea tangia mwanzo na hapa tulipofika nguvu ipo tu mtandaoni ila katika maisha halisi watu wala hawana habar na kinachoendelea.

Alafu tatizo la watanzania ni ngumu sana kuja kuwa na viongozi waadilifu kwa kila nyanja kwasababu kuanzia viongozi mpaka wananchi wa kawaida wote tunatamaa ni ni watu wa kutumia magap madogo yanayotokea ili tujilumbikozie mali

WATANZANIA MPAKA SASA HATUJUI TUNACHOKITAKA NI NINI ???

UKIULIZA WATU 10 KATI YA 100 WATASEMA HATUMTAKI MAMA SAMIA NA SABABU HAWAKUPI ZA KUELEWEKA

UNAFIKI WA WATANZANIA HATUWEZI FIKA POPOTE
ZAIDI YA KUTENGENEZA MATABAKA TU BAINA YA UDINI NA UKANDA.!

tutaingia kwenye machafuko na hakuna cha maana tunapata!

Mtoa mada hapa anataka wananchi wamuue rais alaf kisha wamchague nani awe rais???

Tanzania tumefika huko???? We unafikiri akiuliwa huyu kuna rais mwingine atadumu.??
 
Naona Sasa matishio ni mengi sana juu ya watumishi wa Mungu wanaosema kweli ktk Neno...uko tunakoelekea mtume Paulo alishapita.
Naomba turudi kwa mstari.
 
Back
Top Bottom