Mkuu unasema ukikosoa huku jf hawakutafuti? Ugumu ni jinsi ya kupata hao watu lakini sio kuwa hawaangaiki kutafuta
Huko kwingine tik tok na ista kila leo wanatekwa. Twitter kuna dogo anaitwa Kiduku nae kachukuliwa
Mkuu ulichosema kwenye reply yako iliyopita ni tofauti na hiki. Umesema ukitoa maoni ya kawaida ya kukosoa hawana shida na wewe, hapo ndio mimi nikakuambia sio kweli sababu wapo wanaotoa hayo maoni lakini wanaishia kutekwa, nimekutolea mfano wa dogo kduku wa Twitter , Wala hana ukosoaji wowote mkubwa lakini kachukuliwaBro, Unajua ukiacha utofaut wa jinsi ya kuwakilisha hoja kwenye hii mitandao.
Kuna utofaut pia wa uelewa na jinsi ya kutumia mitandao. Na pia privacy kama ulivyosema.
Ila hata JF. Sio unajiachia na kitukana na kutoa siri za serikali zenye uhakika . Watakutafuta na watakupata.
Njia ni nying.
Mfano leo umeongea kitu na kikagusa maslahi. Nikitaka kujua ww ni nani.
Nakaa siku 3 hivi. nakufuata PM na kuomba support ya biashara yangu na uangalie video Youtube au facebook. Nakjtumia link.
Ukiigusa tu na kungalia . Bas naona location na Ip yako. Na Bugs niliyokusudia inabaki kwenye history yako. Device ikiwa on naweza kujua meng kuhusu ww.
Kwahiyo hawashindwi. Ni vile hawajaamua.
Mkuu ulichosema kwenye reply yako iliyopita ni tofauti na hiki. Umesema ukitoa maoni ya kawaida ya kukosoa hawana shida na wewe, hapo ndio mimi nikakuambia sio kweli sababu wapo wanaotoa hayo maoni lakini wanaishia kutekwa,
Mkuu ngoja twende kwa mifano halisiBro Labda.
Tukijike kwenye kukosoa.
Ila hebu angalia wanaotoa maoni/kukosoa mtandaon bila kutukana kama wanatekwa? . Iwe insta au kwingineko.
Ukijipost kuwa serikali yetu ina shida hii na hii na hii na kukemea hili au lile nk. wala hakuna mtu atahangaika na ww.
Ila ukitoa post kuwa mkuu wa mkoa A labda anaitwa Kanyambe. Kuwa ni shooga . Mseeeeng. Hawajibiki ana kula tu hela yulee. Kuna mrad B alikula mill 100. Na Juzi amefanya hiv na hivi na hivi na mambo yote hayo yawe ni kwel amefanya huyo Kanyambe.
Basi atajayekuteka ndio huyo uliyemtukana. Ambaye ni Kanyambe au wasaidizi wa kanyambe.
Umeona tofauti.
Melo anakosoa . Je amewah kumtukana nan?Melo wa huu mtandao ni lini amekua mkosoaji mkubwa wa hivyo unavyosema? Lakini kaahidiwa kutekwa
Sasa ukute waliompoteza ni watu wa wilayani. Hata mkoan file lake halijafika. Ni case ndogo. Ila sasa je? Ni yeye tu hapo wilayan kwake aliyopo ndio anakosoa? .dogo chaula hata smartphone Hana, kipi kimefanywa atekwe na kupotezwa hadi leo?
Kuchora picha na kuichoma? H
Soma mahojiano ya Soka vizur.Soka ni lini amewahi kuwa mkosoaji mkubwa?
Hili mm ninashangaa pia. Na tumesikia meng. Nisiliongeleemzee Ally kibao ni lini ulimuona akikosoa sana?
Naongea nikiwa sina jazba wala hasira.Naongea nikiwa najua ukweli wa kinachoenda kutokea juu ya hili taifa na ulimwengu wote.Mwenyezi Mungu aliyenichagua nakunipa kibali kati ya watu wake(japokuwa sikuwa mwenye akili kupita wengine au mwenye imani kubwa kupita wengine).Nasema hivi huyu afanye anavyoweza lakini 2030 hafiki.(uchaguzi utafanyika,mshindi atatangazwa na huenda hiyo nguvu ya umma wanayosema tarehe 29 isiwepo lakini huyu Mungu aliyenifunilia uwepo wake toka mwaka 2016 anaenda kutenda kwa ajili ya mtumishi wake,taifa lake na ulimwengu wote,haki na amani vitarejea)
Melo anakosoa hatukuni, umekubaki hili. Swali nililokuuliza je kwa nini anataka kutekwa?Melo anakosoa . Je amewah kumtukana nan?
Sasa ukute waliompoteza ni watu wa wilayani. Hata mkoan file lake halijafika. Ni case ndogo. Ila sasa je? Ni yeye tu hapo wilayan kwake aliyopo ndio anakosoa? .
Kwahiyo shida sio kukosoa. Shida ni kukukana. Sijui kama unanipata.
Soma mahojiano ya Soka vizur.
Maana hii ni case study.
"Aliulizwa nan kakutuma" unashirikiana na nan"
Hili mm ninashangaa pia. Na tumesikia meng. Nisiliongelee
Sisemi ni TISS . Ila Pengine labda TISS wenye dhamana ya kuteka wana tabia moja ambayo haibadiliki.
(Ila kuteka sio kazi ya TISS)
Wanateka yule ambae wameambiwa wamteke. Na ni yule ambaye either anamuandama mmoja wa Viongozi na kusema siri zake...
Na mbaya zaid ukapatia jambo ambalo walifanya siri na kuliweka wazi. Watakutafuta.
Na watakutafuta kwa lengo MOJA KUU. Ni ili wajue nani alikuambia ili wajue nani kavujisha siri yao n wamshugulikie.
Au pengine una ushahidi wa kitu ambacho wao hawahitaj ushahidi.
Polepole lazima ameshabanwa sana na kashawataja wale wote ambao wako na yeye. Na hilo ni kazi ya wana usalama wa nchi.
Otherwise ukisema ya kusema huku JF ambayo hayana ushahidi.
Hawakutafuti na hawakugusi maana wanajua ni kawaida raia kuongea. Ni haki yako.
Sijaona la kunisisimua hapa nami niweke "like" ya 73!!Polis wakishamaliza kukumaliza au kukuweka kwenye target alafu wakasema wanakutafuta ndo imeisha hiyo!
Tarehe 12 ikipita tu bila kusema ndo wanaye hatutakuwa na haja ya kuhangaika naye Bali tutatakiwa kuhangaika na mifumo ambayo inasababisha haya! Kuanza na Mafwele! Hilo Liwe wazi
Same scenario! saa nane! Same scenario Lajwabe, same scenario Mdude, and I warned Huyu bwana Tena sana nilimwambia toka hapo na kuwa makini zaidi,
Kuna muda nilikiwa nalaumu watu wanakuwa magaidi au wahasi sasa inanipa mwanga kwamba kwanini watu udai haki kwa upanga!
Kwanini watu uchoma ikulu, kwanini huchoma Bunge, kwanini watu hulipua maraisi kwanini watu huua wanafamilia wa viongozi, ni kwasababu ya haya!
Nina uhakika uchaguzi hautafanyika na ukifanyika basi mizinga 21 itapigwa ya kumuapisha mtu na ndani ya masaa kadhaa kwenye kadamnasi mtashuhidia Mara ya kwanza inatokea jambo ambalo lite weka historia.
Cha msingi mjue hakutakuwa na cha Makamu kushika hatamu naye atakuwa miongoni mwa wanaotakiwa kuchimbiwa futi sita
Mengine tuyaandike bila uwazi sana kwakuwa what is coming is very very important for the sake of the nation!
TUMECHOKAAAAAA 😭😭😭😭
Britanicca
Mnapenda "AMANI" ya kuwaua wengine kama wanyama?Unaongea sana kwa kuwa unalala kwa dadako ,achana na nyuzi za kichochezi sisi tunapenda amani sana wewe hamia Congo
USSR
Tusi ni nini?Bro Labda.
Tukijike kwenye kukosoa.
Ila hebu angalia wanaotoa maoni/kukosoa mtandaon bila kutukana kama wanatekwa? . Iwe insta au kwingineko.
Ukijipost kuwa serikali yetu ina shida hii na hii na hii na kukemea hili au lile nk. wala hakuna mtu atahangaika na ww.
Ila ukitoa post kuwa mkuu wa mkoa A labda anaitwa Kanyambe. Kuwa ni shooga . Mseeeeng. Hawajibiki ana kula tu hela yulee. Kuna mrad B alikula mill 100. Na Juzi amefanya hiv na hivi na hivi na mambo yote hayo yawe ni kwel amefanya huyo Kanyambe.
Basi atajayekuteka ndio huyo uliyemtukana. Ambaye ni Kanyambe au wasaidizi wa kanyambe.
Umeona tofauti.
Kwan ******* hawazeeki?Huyo ni kama babu yako mkuu..
Uko sahihi kabisa, naamini kati ya vitu wanatamani kuvifutilia mbali ni hili jukwaa. Wao hata hawajali kuwa kuna majukwaa mengi humu Jf na yanatoa elimu na connections kwa watu kama jukwaa la biashara, uchumi, historia nk...wao wanachojali ni watu wao wasisemwe kwa lolote baya na yotote anayesema baya kwa mtu wao ni adui na salama yake ni kuondolewa kama PolepoleMdude au Chaula walikuwa na jipya gani mkuu? Chaula imemsababisha picha tu, kweli picha ndio upanic hadi kumtoa mtu uhai?
Hapa tunasakwa kitambo siku melo akiingia kwenye kumi na nane zao, humu tutapoteana maana wao wanataka kusifiwa tu
Kumtukana Mayalla mtu ambaye huwezi kusikia anatumia lugha mbaya hata kama hakubaliani na hoja yako ndio level ya watu wanaojiita wapinzani au wanaharakati walipofikia, sidhani kama wanatofauti na watawala wanachofanya. Hawa watakutukana matusi yote ukiwa na maoni tofauti tu na wao sasa imagine siku wakipata power, si watafanya haya yanayofanyika....Duh..., Asante
P
Kuna nchi mbili Tanzania halisi na Tanzania ya mitandaoni...Mbona huku uswahilini kimya sana, hata sisikii habari yoyote au ?
Nyinyi mnaishi wapi ?
JF ?