Hivi hamsomi mazingira? No way tutamuona akiwa live tena!

Halafu ikaishia wapi? Acheni kumfuatilia britanicca huyu ndiyo anawalengesha wanaharakati kisha wanakamatwa na kuuliwa na akina Mafwele
Na kwanini Mafwele aue wanaharakati?

Tangu lini kufanya harakati ni kosa , nipe kifungu cha sheria kinachosema harakati ni kosa na adhabu ya harakati ni kuuwawa.

Hapa umekiri Mafwele ni muuaji hivyo muuaji ndio anatakiwa kufunguliwa mashtaka hata ile ban aliyowekewa kuingia US walikua sawa maana liuaji linaweza kuhatarisha maisha ya watanzania waishio US likiingia sababu tu wanafanya harakati.
 
Basi kuna watu wanakuamiini mwenyewe
 
Mkidhan Natania
Baada ya siku 3 kupita kama nilivyokua nimesubiria niliamini jamaa walimuua.

Lakini baada ya kuangalia zile video vizuri na kuona kiasi cha damu zile niliona ni kwamba walimuua pale pale katika purukushani za kupambana nae walimjeruhi kichwani kama walivyofanya kwa Mdude maana huenda ndio aina mpya ya maelekezo kupambana na mtu anayeleta upinzani wakija kumteka.

Wasichokijua ni kwamba wamemuua Polepole ila hawajaua mawazo yake wala kauli zake , jana nilikua napitia video kadhaa kati ya nyingi zilizopo mtandaoni unaona kabisa kuna siku kuna watu watafungwa na rejea katika ushahidi ni hizo hizo video ambazo hawataweza kuzifuta maana ziko mtandaoni na uwezo wao wa mwisho ni kumuua mtu ila sio kauli zake.
 
Napenda iwe hivyo,ila ninakuhakikishia kuwa Mungu alisha[ga] iacha Tanzania muda mrefu sana hata hashughuliki nayo tena.
Hapana Mimi naamini Mungu Bado yupo na sisi....nikama kipindi cha Wana wa Israel walipofika hatua ya kuanza kujitengenezea miungu yao wakiamini ya kwamba Mungu kashawaacha kumbe ni Mungu anawapitisha ktk mitihani na mwisho wa siku Mungu alijitwalia sifa na utukufu kwao....vivyo hivyo nasi twapitia mitihani km nchi Kwa makusudi Fulani km Nchi
Time will tell
 
Swali Zuri umemuuliza huyo bwege
 
Kumbe Mzee Pascal hauko vizuri sana kwenye hizi mambo maana hapa naona uliingia chaka
 
Si kweli? Then sababu hasa ni ipi iliyowafanya wapore uchaguzi? Sababu hasa ni ipi/zipi zinazowafanya waogope to compete fairly on a fair battle-field?
Kama si kuogopa kushindwa sababu ni ipi/zipi?
It is just the continuation of the anatomy of stupidity!.
Kwa the political dynamics and the political landscape ya siasa za nchi yetu, it is only the fools ndio anaweza kuamini na kuogopa kuwa CCM inaweza kushindwa uchaguzi kwenye box la kura, to warrant killing all those innocent victims!.

P
 
It is just the continuation of the anatomy of stupidity!.
Kwa the political landscape ya siasa za nchi yetu, it is only the fool ndio anaweza kuamini na kuogopa kuwa CCM inaweza kushindwa uchaguzi to warrant killing all those innocent victims!.

P
Themselves, CCM cronies ndiyo wanaoogopa otherwise wangeachia fair contest ili jamii na dunia vijionee jinsi wanavyokubalika.
 
Themselves, CCM cronies ndiyo wanaoogopa otherwise wangeachia fair contest ili jamii na dunia vijionee jinsi wanavyokubalika.
Niliwahi kushauri humu, tuongeze baadhi ya vigezo kwenye sifa za uongozi wetu wa juu, ikiwemo kiwango cha IQ fulani, ili rais wetu akishauriwa ujinga na wajinga, awe na uwezo wa kubaini kuwa huu ni ujinga!. Uhaini My God!. Kuna Uwezekano Anadanganywa na Kadanganyika? I Don't Believe This!. Sitatizwi na Uongo Wao, Natatizwa na The Motives Behind Such Lies!
Kuna majinga fulani yanamdanganya mtu wetu, na yeye anaingia kingi kichwa kichwa, mzima mzima mazima!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…