Hivi hamsomi mazingira? No way tutamuona akiwa live tena!

Hili nimeanza kulihisi.
 
Samia haendelei tena..
 
Una kopi na kupest maujinga meeengi yasiyovutia hata kusoma Hilo moja pili sijui kwanini mnaitaja chadema hata Kwa yasiyohusika na chadema. Polepole ni ccm mwenzenu tena wa high profile aliyoyasema yote yanawahusu ccm Sasa chadema inaingiaje? Au ni nyege tu ?
 
Kwa ufupi ni kwamba Kuna watu watapitia mitihani mikubwa sana Ili mwisho wa siku waweze kutengeneza ushuuda...lkn mwisho wa siku wao ndo watakaoibuka washindi zaidi ya kushindwa...ni kwa nini ....?
Kwa sababu Mungu ana makusudi na wao ndani ya nchi hii ya Tanzania...kwa sababu bila ya nguvu ya Mungu wangesha tangulia mbele za haki.
Sitaki kuwataja kwa majina ila mnawajua ..vyema ....tuendelee kuliitia Jina la Mungu wetu aliye Hai.
 
Waseme tu wanaye, mama yake kasema wamrudishe hai au mfu, kama yu mfu itaondoa tahshishi kwa wazazi wake kwa kuwa watakuwa wanajua walimzika ndugu yao na kaburi lake linaonekana. Hivi tu kusema wanamtafuta, watamfuta mpaka lini?
Wewe kama unajua alipo si kawaambie polisi au umwambie huyo mama yake?!
Huyo kaka yake kaambiwa akatoe maelezo ya utekaji ulivyoyokea na huyo polepole alikuwepo TZ tangu lini je huyo Augustino katoa ushirikiano kwa vyombo vinavyohusika?!
Mnakazania polisi wamemyeka! Ni nani aliwaona polisi wakimteka polepole wakati inadaiwa kwenye hiyo nyumba alikuwa peke yake kama msukule?!
 
Napenda iwe hivyo,ila ninakuhakikishia kuwa Mungu alisha[ga] iacha Tanzania muda mrefu sana hata hashughuliki nayo tena.
 
Unaboa kutuunganishia hizo nyuzi zako za matakataka
 
Polisi wamekana hawapo na hp ila watekaji ni hao hao kama itatokea issue ya kuswipe atatelekezwa sehem alafu polisi watawahi iyo sehem watamchukuwa, hapo atokuwa na macho,ulimi,wala vidole ya kuandika uo ndo msamaha atakaopewa nje ya hapo ni death row. But wajue familia zao nazo zitaguswa na mkono wa Yehova
 
Tanzania imebarehe sasa, kuanzia mwisho wa mwezi huu, Tanzania inajiunga rasmi kwenye kundi la failed States kama ilivyo DRC

Maji yameisha mwagika na sidhani kama kuna namna ya kurudi kwenye amani tena.

Huu ukimya wa raia naufananisha na ule uliotamalaki kwenye nchi za Rwanda na Burundi..... Kinachosubiriwa ni kipenga tu! Yajayo yanatisha!! 😭😢
 
Utakubaliana na mimi Tanzania kuna kikundi cha kigaidi kisicho na jina au maarufu anonymous ghost, kwamba kinawashughulikia wale wote wakosoaji wanaosema ukweli na kumwogopa Mungu
 
Kama ulifatilia kesi ya Leo mahakamani Lissu wakati akimjibu yule shahidi wa serikali, Lissu alisema polepole ameuwawa.
Lissu yupo jela anajua, uraiani watu hawajui. Labda useme Lissu ameongopa
 
Kufa au kuuwawa kwa raisi wa sasa sio suluhisho la matatizo yenu, Tatizo la hii nchi ni CCM sio Samia, Samia ni part of the problem. Bila ya kuing'oa CCM hakuna kitakachobalika. hata huyo polepole munaemlilia nae alikua part of the problem. wabonga tuna tatizo kubwa kwenye kujitambua.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…