Huyu mMachame nilizaa nae miaka 17 ilio pita nilivo mgudua kwamba sitafika mbali nae kwa tabia zake tukaachana nae kwa maelewano kwasbb nilijua udhaifu wake ni pesa mali nikamuachia mali za aina tatu na pesa tasilimu ili nipate uhuru wangu na tuachane kwam amani after all Lipata ujauzito tukiwa bado chuoni, sasa hivi ni mwanamke wale wa "age go" ni mzee hana mvuto tena.
Tangia hapo nimelea my two sons kwenye malezi ya wastini kwa standards zetu hapa watoto wamesomo Ems na wamemaliza form four, wameenda kwake mara mbili likizo fupi tangu tuachane nae
Katika hi likizo ndefu ya miazi 8 nimeona ni la busara huyu mama nimpatie hao watoto wamjue zaidi wajue na wajomba zake, eli wawe na "a sense of belonging" na life confedence.
Lakini sasa wamekamilisha mwezi ila kila siku ni simu kutoka mzazi mwenzangu njoo uwachukue watoto wako mimi nina safari, mara nikopesha kiasi ni nunue chakula cha kutosha mara watoto wako hawali ugali wanapenda chips nk.nk Wakati kazini kwake mshahara wake ni 650k kwa kila mwezi tuseme huyu age go wangu hizo pesa hawezi kuhudumia watoto wake mpaka ni mhudumie mimi?
Wakati yeye kazalishwa mtoto mgine na anamhudumia yeye kama "singo maza' baba kapotea mazima. Nyie wanawake tukiwa wastaharabu mstuchukulie kama fala, hao mapacha nina uwezo wa kukuachia uwasomeshe mpaka form five na ni kublock kwenye simu zangu zote.