- Thread starter
- #21
Mbona shuleni huo ugali wana ula japo mimi nyumbani sipendelee sana ugali, ila mara moja moja tunaula nao ni uongo anataka kupiga mizinga tu.naweza nikawa nje ya mada lakini kama hii ni kweli basi ni tatizo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona shuleni huo ugali wana ula japo mimi nyumbani sipendelee sana ugali, ila mara moja moja tunaula nao ni uongo anataka kupiga mizinga tu.naweza nikawa nje ya mada lakini kama hii ni kweli basi ni tatizo.
Kweli wanawake ni wabinafsi hata kwa watoto wao wakuzaa unawabania hata chakula, sometime ni sababu ya kutoka kwenye familia duni.Siku zote mwanamke ni kiumbe mbinafsi. Unaweza kuwa naye kwenye mahusiano bado hamjaoana na bado hamuishi pamoja na ana kazi inayomuingia hela ila huyo mwanamke kununua chakula chake yaani cha kula yeye anaona kama anapoteza hela. Anataka wewe ndiyo umhudumie
Ukipata naye watoto, hao yeye siyo watoto wake. Kwenye suala la kuwahudumia anaona kama anapoteza hela zake. Ila watoto wakikua, ndiyo anajifanya yeye ndiyo alikuwa anatumia pesa zake.
Uko sahihi ,wazazi wengine jau sana hasa wa kike hata kama ana pesa kila kitu anataka mume afanye.Siku zote mwanamke ni kiumbe mbinafsi. Unaweza kuwa naye kwenye mahusiano bado hamjaoana na bado hamuishi pamoja na ana kazi inayomuingia hela ila huyo mwanamke kununua chakula chake yaani cha kula yeye anaona kama anapoteza hela. Anataka wewe ndiyo umhudumie
Ukipata naye watoto, hao yeye siyo watoto wake. Kwenye suala la kuwahudumia anaona kama anapoteza hela zake. Ila watoto wakikua, ndiyo anajifanya yeye ndiyo alikuwa anatumia pesa zake.
Nice observation mkuu bado ana hasira na mimi naona bado haja toboa licha ya kua tuligraduate karibia miaka ile ile bado iko chini ya watu wivu na roho mbaya ndo vinamsumbua.Kiukweli baadhi ya Wanawake wana roho mbaya sana.
Huyo bado ana hasira na wewe.
Badala awapokee watoto tena awalee kwa upendo maana ni watoto wenu. Lakini anazidi kuketa mbambamba kibao hadi watoto hawajisikii amani na furaha kabisa.
Huu ni wito kwa kataa ndoa group, ukikataa ndoa basi usizae nje hovyo hovyo tabu iko pale pale
Watoto wake sio sehemu ya mipango yake, nini zaidi ya watoto wako wa kuzaa.Msapot bana watoto watarudi wamekonda.. huo mshahara alishaupangilia kuendana na maisha yake ukute ana vikoba ,upatu nk
Mpaka unajiuliza ina maana huyu ana familia nyingine anayohudumia ambayo mimi siijui? Ikiwa pesa zake zote anaficha🤣🤣Watoto wake sio sehemu ya mipango yake, nini zaidi ya watoto wako wa kuzaa.
Hehehehe.....tena?Mwanamke haitaji ustaarabu anahitaj udikteta kuwa harsh roho mbaya wew endelea kujifanya mstaarabu
Ni kweli ndugu, hawa viumbe ukilegeza watakuendesha sana. Watoto mliwapata wote kwahiyo kila mtu anamajukumu ya kuwalea watoto na siyo mwanaume tu.Kweli wanawake ni wabinafsi hata kwa watoto wao wakuzaa unawabania hata chakula, sometime ni sababu ya kutoka kwenye familia duni.
Lakini waliachana. Wangetaka kuwalea wote wangekuwa pamoja.Ni kweli ndugu, hawa viumbe ukilegeza watakuendesha sana. Watoto mliwapata wote kwahiyo kila mtu anamajukumu ya kuwalea watoto na siyo mwanaume tu.
DuhAcha usengerena paka wewe.... Wapumbavu kama wewe mnasababisha wanaume tunatukanwa.... Taahira wewe.
Narudia tena usenge siyo tusi hata kwenye kamusi lipo.... Ila wewe ni msenge. MPUMBAVU.
Usiogope kuzaa watoto na mwanamke kisa ana roho mbaya (mwanamke ni muigizaji mzuri sana). Wanawake wote ni wabinafsi, mwanamke anaweza kukuigizia hata mkapata watoto wa 4 halafu pepo lake la roho mbaya likafumuka. Ukawa unajiuliza huyu ndiyo yule mke wangu?Kiukweli baadhi ya Wanawake wana roho mbaya sana.
Huyo bado ana hasira na wewe.
Badala awapokee watoto tena awalee kwa upendo maana ni watoto wenu. Lakini anazidi kuketa mbambamba kibao hadi watoto hawajisikii amani na furaha kabisa.
Huu ni wito kwa kataa ndoa group, ukikataa ndoa basi usizae nje hovyo hovyo tabu iko pale pale
Hii kasumba ya kuoa na kuacha inaturudisha nyuma sana kimaendeleo.Usiogope kuzaa watoto na mwanamke kisa ana roho mbaya (mwanamke ni muigizaji mzuri sana). Wanawake wote ni wabinafsi, mwanamke anaweza kukuigizia hata mkapata watoto wa 4 halafu pepo lake la roho mbaya likafumuka. Ukawa unajiuliza huyu ndiyo yule mke wangu?
Wewe jiulize, mwanamke mwenye watoto wawili anapataje nguvu ya kuchepuka au kuvunja ndoa? Haya maisha, unaweza ukaoa halafu walio single ukawaona kama wajinga. Baada ya miaka kadhaa, ndoa yenu ikavunjika, hapo umeshapata watoto wawili na ukaoa mwanamke mwingine ukapata naye watoto 3. Hao watoto wawili wanakuwa wapo nje ya ndoa au hawa watoto watatu ndiyo wanakuwa wapo nje ya ndoa? Ukikua ndiyo utalijua hili ila sasa hivi huwezi kuelewa.
Wakonde tu sina jinsi madaam wako kwa mama yao mzazi kama watampendezesha sawaMsapot bana watoto watarudi wamekonda.. huo mshahara alishaupangilia kuendana na maisha yake ukute ana vikoba ,upatu nk
Tena unawasomesha high quality school bado yeye hajaliWakonde tu sina jinsi madaam wako kwa mama yao mzazi kama watampendezesha sawa