Hivi hao viumbe hawana mapenzi na watoto wao wa kiume au wamezoa mseleleko tu?

Ndugu acha mimi nikwambie ukweli. Malezi ya watoto ni jukumu lako kwa mila zetu za kiafrika. Mwanaume kamwe haupaswi kulalamika kuhusu gharama za malezi ya watoto au kumwachia mama yao. Mwanaume wa kiafrika analea watoto wake.
Mkuu kwa mila za kiafrika na mali za Familia si ni za Mwanaume?
 
Ndugu acha mimi nikwambie ukweli. Malezi ya watoto ni jukumu lako kwa mila zetu za kiafrika. Mwanaume kamwe haupaswi kulalamika kuhusu gharama za malezi ya watoto au kumwachia mama yao. Mwanaume wa kiafrika analea watoto wake.
Sijakuambia kwamba malezi na muachia yeye najua hilo ni likizo tu hi nilifanya mahususi wamjue mama yao zaidi.
 
Kwa mujibu wa maandishi yako wewe ni mtu mzima(40+)

Mimi nikiwa kama mtu mzima mwenzio nimefuatilia huu uzi na comment zako......

Sijaona tatizo kubwa la kukufanya wewe ushindwe kulitatua na mzazi mwenzio mpaka kulileta huku mitandaoni......naona ni jambo dogo tu ambalo ni la kawaida kwa wazazi wanaolea watoto hasa wakiwa mbali mbali......

Nilichogundua ni kuwa pamoja na miaka mingi kupita bado Una hasira na huyo mzazi mwenzio....bado Una chuki naye na wewe umeshinda kuificha chuki mpaka imekuwa dhahiri.....

Inaonekana tukio la kuachana naye limekuuma sana mpaka sasa bado unafuatilia maisha yake na watu aliotoka nao na unafurahia sana maanguko yake kimaisha......

Pamoja na kuwa na wanawake wana changamoto zao na mapungufu yao lakini katika hili sijaona kosa la mwanamke ambalo ni kubwa kiasi cha wewe kuanzisha uzi.......

Unachotakiwa kufanya ni kutimiza wajibu na majukumu yako kama baba na sio kuleta visingizio.....

Inaonekana kinachokuuma ni huyo mtoto mwingine aliyezaa na mwanamume mwingine na wala sio matumizi kwa maana unaona ukituma hela na yeye atanufaika.....

Mkuu utu uzima sio wingi wa miaka bali ni kujiweka mbali na mihemko na kutanguliza akili ndio maana Mungu alituambia tuishi nao kwa akili......

Safisha moyo wako kwa kuondoa chuki dhidi yake.......fanya na timiza wajibu wako kama baba......
 
Mkuu sina chuki nae kabisa ila nina chuki na tabia zake za ubinfsi kudhihilisha kwamba sina chuki nae nilishampa connection za ajira hiyo alio nae miaka 6 nyuma akapona zile ajira za mwanza za mshahara mdogo.

Nisinge leta mada kama hi nisinge pata ushauri mzuri kama wako sometime tunaleta mada sio kwamba tumeshindwa kulitatua hapana ni kupata mawazo na relaxation zaidi kwa wadao.
 
Sawa mkuu....kama ulichokiandika kinatoka ndani ya nafsi yako Mungu akujaalie kheri.....

Ninacho kushauri ni kwamba....kwa usalama na uzima wa afya yako ya mwili na akili..... jitahidi sana usihangaishwe na mambo madogo kama haya....

Nayaita madogo sio kwamba ni madogo la hasha bali nayaita madogo kwa kuwa ni mambo ambayo utendaji wake hayataki kufikiria sana......

Unajua duniani hakuna mkamilifu na huo ndio ubinadamu wenyewe ukamilifu ni wa muumba mwenyewe.......wewe timiza wajibu na jukumu lako kwa kadri ya uwezo wako bila kujiuliza uliza maswali ambayo hayana majibu ya moja kwa moja na mwisho wake unautesa moyo wako.....

Kuwa mtu wa kupuuzia mambo ili upate amani ya moyo kwani duniani maudhi ni mengi kuliko maliwazo.....
 
Kwahilo tuko pamoja mkuu ili alknipi shida na limudu hu, pesa ya chakula sitamtumia ila nauli ya kurejea ntatima tu na kuwasomesha hiyo ni haki yao mpaka wamalize shule.
 
Umejuaje kama hamsumbui?
Ndugu zake wali niambia kwamba jama kapotea mazima hu ni mwaka 6 hajui alipo na simu hazipatikani, mkoani kwao hapajui.
 
Kuna kipindi nilijifanyaga mzungu eti nafungulia mtoto wangu account ya benki kwa jina la mama yake alio kua amamlea eti akifika kuenda shule ada iwe imewekwa ya kutosha loh sotasahau nilipigwa na kitu kizoto kichwani, na mtoto nika rudishiwa, wanawake ni watu waajaabu likija suala la pesa.
Nani alikushauri ufanye hivo
 
Lea watoto wako bwashe acha kujibanza pembeni ya hela za mwanamke.... hakikisha wanapata chakula, mavazi na mahitaji mengine muhimu
 
Ndugu zake wali niambia kwamba jama kapotea mazima hu ni mwaka 6 hajui alipo na simu hazipatikani, mkoani kwao hapajui.
Duuuh wanawake akili zao wana zijua wenyewe, Sasa ana zaa na Mwanaume hajui ndugu zake wala Wazazi wake na hata kwao pia hakujui, kwahiyo hapo watoto wake wanakua hawana kwao.
 
Watoto napenda wajue ujomba wao ili angalau wajisikie kua na amani sio kwamba nina nia ya kuacha huko mlele ila nashangaa mwanamke ndl hivo alivo
Kweli una nia nzuri huna baya ila ndo Mama yao hataki sasa
 
Back
Top Bottom