Usiogope kuzaa watoto na mwanamke kisa ana roho mbaya (mwanamke ni muigizaji mzuri sana). Wanawake wote ni wabinafsi, mwanamke anaweza kukuigizia hata mkapata watoto wa 4 halafu pepo lake la roho mbaya likafumuka. Ukawa unajiuliza huyu ndiyo yule mke wangu?
Wewe jiulize, mwanamke mwenye watoto wawili anapataje nguvu ya kuchepuka au kuvunja ndoa? Haya maisha, unaweza ukaoa halafu walio single ukawaona kama wajinga. Baada ya miaka kadhaa, ndoa yenu ikavunjika, hapo umeshapata watoto wawili na ukaoa mwanamke mwingine ukapata naye watoto 3. Hao watoto wawili wanakuwa wapo nje ya ndoa au hawa watoto watatu ndiyo wanakuwa wapo nje ya ndoa? Ukikua ndiyo utalijua hili ila sasa hivi huwezi kuelewa.