Matawi ya juu
JF-Expert Member
- Mar 5, 2019
- 3,504
- 6,809
Umejuaje kama haombi msaada huko kwingine? tunza watoto wako acha kulialia, wenzako tunafurahi tukiombwa pesa za matumizi kwa watoto wetu 😂😩Ila kinacho niuma kuna mtoto mgine anae mrisha bila kusumbua baba mzazi kwanini wakwangu mpaka aniombe msaada?
Wanawake ni waigizaji wazuri sana wa tabia. Akisha jenga ufalme wake na akaona sasa yupo sehemu salama ndiyo anaanza kutoa makucha yake. Unagundua tabia chafu ambazo hazikuwepo kabla. Kuna tabia za wanawake hata ungekuwa unaroho nzuri kama ya malaika utashindwa kuvumilia na utaondoka.Lakini waliachana. Wangetaka kuwalea wote wangekuwa pamoja.
Kumbuka pia ametambia huyu Mwanamke alishaanzisha familia nyingine
You may be right "Nice men" wengi ndo wahanga wa ndoa ila "dirty men" mpaka leo wana heshimiwa na wake zaoMwanamke haitaji ustaarabu anahitaj udikteta kuwa harsh roho mbaya wew endelea kujifanya mstaarabu
Nakubaliana na wewe, hizo tabia ni kama zipi?Wanawake ni waigizaji wazuri sana wa tabia. Akisha jenga ufalme wake na akaona sasa yupo sehemu salama ndiyo anaanza kutoa makucha yake. Unagundua tabia chafu ambazo hazikuwepo kabla. Kuna tabia za wanawake hata ungekuwa unaroho nzuri kama ya malaika utashindwa kuvumilia na utaondoka.
Hapo ukute ni 45 plus😅afu una muita mwenzio mumamaMkuu kwani hilo ni tusi 40+ sio :age go" kwa mwanamke kweli mbona ni utani wa kawaida mkuu.
Sasa mpaka uombwe hela ya matumizi ndiyo ufurahi? Usipoombwa unapiga kimyaUmejuaje kama haombi msaada huko kwingine? tunza watoto wako acha kulialia, wenzako tunafurahi tukiombwa pesa za matumizi kwa watoto wetu 😂😩
Na walianza pamoja🤣🤣 anamwita Age GoHapo ukute ni 45 plus😅afu una muita mwenzio mumama
Upo vizuri mkuu mimi ugali ni Kila siku mchana kutokana na kazi ngumu ngumuMbona shuleni huo ugali wana ula japo mimi nyumbani sipendelee sana ugali, ila mara moja moja tunaula nao ni uongo anataka kupiga mizinga tu.
Na walianza pamoja🤣🤣 anamwita Age Go
Bigup umeliweka sawa very excellent [emoji108] dudeUsiogope kuzaa watoto na mwanamke kisa ana roho mbaya (mwanamke ni muigizaji mzuri sana). Wanawake wote ni wabinafsi, mwanamke anaweza kukuigizia hata mkapata watoto wa 4 halafu pepo lake la roho mbaya likafumuka. Ukawa unajiuliza huyu ndiyo yule mke wangu?
Wewe jiulize, mwanamke mwenye watoto wawili anapataje nguvu ya kuchepuka au kuvunja ndoa? Haya maisha, unaweza ukaoa halafu walio single ukawaona kama wajinga. Baada ya miaka kadhaa, ndoa yenu ikavunjika, hapo umeshapata watoto wawili na ukaoa mwanamke mwingine ukapata naye watoto 3. Hao watoto wawili wanakuwa wapo nje ya ndoa au hawa watoto watatu ndiyo wanakuwa wapo nje ya ndoa? Ukikua ndiyo utalijua hili ila sasa hivi huwezi kuelewa.
Hamna anae acha mwanamke kwa kwa makusudi mkuu ni matukio ya sio julikana mapema.Hii kasumba ya kuoa na kuacha inaturudisha nyuma sana kimaendeleo.
Wanasoma average school Ems ila yule mama mjing, yule hana akili kanitia hasira kweli.Tena unawasomesha high quality school bado yeye hajali
Kuna kipindi nilijifanyaga mzungu eti nafungulia mtoto wangu account ya benki kwa jina la mama yake alio kua amamlea eti akifika kuenda shule ada iwe imewekwa ya kutosha loh sotasahau nilipigwa na kitu kizoto kichwani, na mtoto nika rudishiwa, wanawake ni watu waajaabu likija suala la pesa.Sasa mpaka uombwe hela ya matumizi ndiyo ufurahi? Usipoombwa unapiga kimya
Mimi ningekuona wa maana kama ungeweka bajeti kabisa hata kufungua account bank. Mwanamke anatoa pesa tu haina haja ya kuombwa, Kila mwezi kwenye account unaweka milion 1 au 3 kabisa ili usiombwe hela.
Mkuu mwanamke wa 40+ watoto 3 tayari wewe utamita beibi au sweatheart?Na walianza pamoja[emoji1787][emoji1787] anamwita Age Go
Bado sio mzee kama ana kazi na anakula mshahara huyo bado analipaMkuu mwanamke wa 40+ watoto 3 tayari wewe utamita beibi au sweatheart?
Heheeh......sio kwamba wewe ndio ulibadilika na kuwa tabia mbaya mbaya hivyo mama naye akakasirika?Kuna kipindi nilijifanyaga m,ungu eti nafungulia mtoto wangu account ya benki kwa jina la mama yake alio kua amamlea eti akifika kuenda shule ada iwe imewekwa ya kutosha loh sotasahau nilipigwa na kitu kizoto kichwani, na mtoto nika rudishiwa, wanawake ni watu waajaabu likija suala la pesa.
Ndo maana nimeleta hi mada hapo kama sehemu ya kupata relaxation, wadao jf wadharao kwa mada zingine ila sio za mahusiano wamepitia mengi wadao wana practicle nyingi watakushairi watakupa uzoefu wao utaridhika tu nakujua plan BDon't Punic brother
Relax
Mfano 1Nakubaliana na wewe, hizo tabia ni kama zipi?