Hivi hao viumbe hawana mapenzi na watoto wao wa kiume au wamezoa mseleleko tu?

Unaongea sana, punguza maneno 😂
 
Bado sio mzee kama ana kazi na anakula mshahara huyo bado analipa
Mkuu kweli anaonekana vizuri ila kwangu ni "age Go" kama uko huru nikupe mawasiliano huenda unaweza ikamjlea zaidi na kumshauri, ana rangi mrefu sura nzuri ila mshikirah uko chini kwenye miguu, mkuu mimi sina roho mbaya nakuachia[emoji1787][emoji1787][emoji7][emoji7][emoji850][emoji850]
 
Miongoni mwa makabila yanayopenda watoto na hawawezi kuacha dam zao ninwatu wa kaskqzini
Jamaa kaamua kudanganya bila uoga kabisa. Wanawake wakichaga ni kama simba jike ni ngumu sana kuwatelekeza watoto wao.
 
Jamaa kaamua kudanganya bila uoga kabisa. Wanawake wakichaga ni kama simba jike ni ngumu sana kuwatelekeza watoto wao.
Hongera kama wote wana upendo na wako tayari kutumia kutumia kipato chao kuchunga familia zao, mimi nina bahati mbaya huyu mchanga anapenda pesa kuliko damu yake.
 
Mshahara 650k ndo unaona mkubwa sana kulea watoto watatu?
Kawachukue watoto wako au peleka matumizi.
 
Well
 
Wewe ndo mjinga kweli, uliona matatizo ya huyo mzazi mwenzio ukaingia mitini, akaja mwanaume mwingine nae kaingia mitini, sasa unakuwa fala tena. Chukua watoto wako acha kulialia humu jf.
 
Wewe ndo mjinga kweli, uliona matatizo ya huyo mzazi mwenzio ukaingia mitini, akaja mwanaume mwingine nae kaingia mitini, sasa unakuwa fala tena. Chukua watoto wako acha kulialia humu jf.
Mkuu lengo sio kulea wanangu na huyu mama ila lengu kuu ni mtoto ajue ujombani kwao na ndugu wa mama ake kesho au kesho kutwa watakua wa mihimu.
 
Mshahara 650k ndo unaona mkubwa sana kulea watoto watatu?
Kawachukue watoto wako au peleka matumizi.
Mmh unaona hizo pesa ni ndogo kweli kwa mkoa anao ishi wakati kuna mtumishi nae mjua ana watoto watano mshahara wake ni 470k kila mwezi
 
Mmh unaona hizo pesa ni ndogo kweli kwa mkoa anao ishi wakati kuna mtumishi nae mjua ana watoto watano mshahara wake ni 470k kila mwezi
Hiyo pesa ni ndogo hata kwa mtu mmoja. Kwani matumizi ni chakula pekee?
 
Lea watoto si ulipeleka moto
Alijua kumwaga mbegu, hakujua kuwa kuna siku atakuja kuwajibika kwa watakaozaliwa.
Maneno ya uchungu sana yamemtoka alipoandika "nina uwezo wa kukuachia uwasomeshe mpaka form five na ni kublock kwenye simu zangu zote"
Hii inaonyesha kabisaa anataka kukimbia kuwajibika na sababu anaitafuta na bibie age go kashtukia mchezo mmachame hataki ujinga.
 
Mshikiraa ndio nini
 
Watoto napenda wajue ujomba wao ili angalau wajisikie kua na amani sio kwamba nina nia ya kuacha huko mlele ila nashangaa mwanamke ndl hivo alivo
Watoto wana haki ya kujua ndugu zao at all cost.

Wazungu wanatuzidi kwenye hili
 
Ndugu acha mimi nikwambie ukweli. Malezi ya watoto ni jukumu lako kwa mila zetu za kiafrika. Mwanaume kamwe haupaswi kulalamika kuhusu gharama za malezi ya watoto au kumwachia mama yao. Mwanaume wa kiafrika analea watoto wake.
 
Jamani fanyeni vyote lakini wapeni watoto Furaha na amani. Wachukue wanao
 
una element za kishoga au unaonekana wewe ni mwanaume dhaifu usiejielewa.

upo na mtoto ana 17yrs manake upo 40+ lakini bado mpumbavu mwanaume dizaini yako manatakiwa mpigwe viboko pumbav
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…