Hivi hata huko kwenu watu wenye tamaa kama Jonasi wa “the Polygamist” 🙃 wapo?

Hivi hata huko kwenu watu wenye tamaa kama Jonasi wa “the Polygamist” 🙃 wapo?

Binti wa zamani

Platinum Member
Joined
Nov 19, 2011
Posts
15,052
Reaction score
36,866
Vipi, umeshawahi kukutana na mtu ambaye hatosheki kingono au kweye mahusiano ya kimapenzi?

20260619123124The Polygamist.jpg


Ambao hamjaangalia hii shoo ya “the polygamist”, inamhusu mbaba anaitwa Jonasi ambaye ana ndoa ya mke zaidi ya mmoja ila bado ana michepuko pembeni ambayo anamudu kufanya nayo ngono bila kuchoka, familia ya siri, ametembea na rafiki wa mtoto wake ana akamgeuza mama mdogo wa watoto wake na mengine mengi.

Shida inakua ni nini mpaka binadamu anakua na matamanio ya ngono ya kiwango cha juu kiasi hicho?

Joyce GIF by NETFLIX (3).gif


Joyce GIF by NETFLIX (2).gif


Na je, wanaume wa aina ya Jonasi wapo au hii stori imeongezewa chumvi sana na hakuna uhuni wa kiwango hiko.

Joyce Polygamy GIF by NETFLIX.gif



Ambao tumeangalia hii shoo tukutane hapa tuifanyie review shoo;
  1. Nani kwenye shoo nzima alikukera kuliko wote?
  2. Scene gani ilikufurahisha au kukuchekesha?
  3. Nani ulimhurumia au alikusikitisha kwa yale aliyoyapitia?
    Joyce GIF by NETFLIX (1).gif

  4. Unajua kisa cha mwanamke ambaye amepitia magumu kama ya Joyce? na una yapi ya kusema kuhusu Essie na Lindani?
  5. Nafikiri wote tunakubaliana kwamba “Matipa” is that girl!

    thepolygamist_gr.jpg


    Matipa.jpeg
 

Attachments

  • ThePolygamistS1_Netflix_8215_0069-1024x576_952400.jpg
    ThePolygamistS1_Netflix_8215_0069-1024x576_952400.jpg
    49.6 KB · Views: 20
Back
Top Bottom