Hivi hata huko kwenu watu wenye tamaa kama Jonasi wa “the Polygamist” 🙃 wapo?

Six o'clock
Mbele upande wa kushoto
Tatizo umekariri 😂
Joyce Polygamist GIF by NETFLIX.gif

Sema nini, migegedo ndiyo mambo ninayopenda kuyaandikia hizo mada nyingine nimewaachia nyie.
 
Jamaa alimgombeza sana kijana wake kua anaogopa sana wanawake hana maamuzi kama wa kiume ila kilichonifikisha sana ni kuona Jonas anatembea na yule binti aliyekua anafukuziwa na yule kijana wake
Kwa kauli ya unapata mpenzi kutoka kwenye mahusiano ya mtu
 
Ila huyu naye! 🙌🏾 Naona kakijana kalikuwa kanamkuna ileile😆
Sasa Mr. Gomora si alikua anamtelekeza mpaka akijisikia mara moja moja ndiyo anamkula, mshangazi wa watu angefanyaje sasa.

Ila this ndoa na Essie was a plot twist ambayo sikuitegemea aiseeeh 🙌, nilichoka.
 
Kaka mtu ndo alishikiria siri ile kwa kigezo cha uhakika wa ajira
 
Sasa Mr. Gomora si alikua anamtelekeza mpaka akijisikia mara moja moja ndiyo anamkula, mshangazi wa watu angefanyaje sasa.

Ila this ndoa na Essie was a plot twist ambayo sikuitegemea aiseeeh 🙌, nilichoka.
Kwakweli alijua kutushangaza! Sema Essie moyo ulikuwa umeshakufa ganzi! Hakujali tena! Ni super woman kumlipia ada kijana akasome chuo mjini💃🏽
 
Back
Top Bottom