Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
- #61
Sio sifa ila unajikusanyia kila aina ya mikosi na mabalaa.. ukiendelea hivi utashangaa mambo hayendi unaanza kumtafuta mchawi nani! Utamaliza makanisa na waganga kumbe mchawi ni wewe mwenyewe!Mama hivi sijawahi kukupa story kuwa nishawahi lomba mdada mwenye waya..
Oky ilikua hivi..
Kipindi namaliza form four bana kuna mtoto alitokea kunielewa sana sana alafu cha kushangaza alikua bado ajafunuliwa.. ila za chini chini nikawa naambiwa kuwa ana waya.
But kama unavojua bana mapenzi hayachagui nikichek mtoto ana mwamya plus weusi flan hv daah nikadata kabisa.
Basi nikawa nabatua kwa kondomu ila kama unavojua bana kondomu kutumia ni kipaji au kama huna kipaji basi uwe ni mtaalam ambaye umesoma mafunzo ya kubalance.
Bana wee nikawa nakula sometimes bila kinga.. nikaja gundua faida moja ya kinga kuwa ukiwa unatumia kinga unaweza usimwage hata masaa matatu..
Sasa kile kitendo cha kuchelewa kumwaga nikawa naachana na kinga nikawa nakula kavu kavu.
Aiseee nilikula yule mtu nilikula an dooh ikafikia kipindi mtoto akawa haendi pre five anakuja hom tunakiwasha kinoma aiseee..
Alafu muda tunakiwasha mzee alikua hajali wala nini anajua tunasoma et.
Siku anakuja kunipangilia kuwa sijui anatumia dawa mara sijui hiki mara kile daaah nikachoka
All in all nilipimwa kipindi nipo jeshini na majibu yalikua oky maana nilikua naogopa ndo nadunda mpaka leo.
Nimegundua nina damu ya ajabu sana maana nishawahi kula demu huyo ana gono sijui lile ila mi nikatoboa sema alivyokuja kuichapa jamaa angu weee alikojoa moto.
Kiufupi wanasayansi nawakaribisha waje kuchunguza blood yangu deep wajue nina H.Cell za namna gani maana sio kwa kuwafaidi huku hawa watu kavu kavu
Bora ukose vyote!Aaah umeharibu!!
Mimi ni mbongo, hulka za watanzania wengi si unazijua mzee mwenzangu!!Naona hujasita kuji-include kwenye hilo kundi mzee mwenzangu 😂😂
View attachment 3620760
Mnawapa mizigo wake zenu, mpaka wanaamua kuwaua kabla hamjawaua na magonjwa!
Huyu jamaa alisetiwa mwanamke ambaye ana ukimwi, na anavyopenda umalayeeer kweli alivyomuona tu akamtongoza na akaukwaa ugonjwa.
Tatizo hatumii kinga, hakuna mwanamke anataka kuletewa watoto wa nje na magonjwa juu.Mr gomora usingekua kuukwaa ule waya basi ingekua muendelezo tu
Atakugeuka, trust me😅Bora ukose vyote!
Hakutaka buana, alimshurutisha na Matipa hakua na namnaIlibidi a suck tu binti alieyataka mwenyewe
kula mbunye mwanawane ndio starehe ya mwanaume yoyote rijaliNi kawaida tu,mi mwenyewe nimeoa ila still nadate na mwanafunzi wa chuo.
Ndiyo mambo yako nini 😂 😂?Huyu binti naye tamaaa ilikua juu ya uwezo nilipenda alipoandaliwa mpaka zana za kazi pale vacation
Kuna kipindi alisema yupo kahama, labda vile vyuo vya tourism 😂Huyo naye huko vijijini kuna chuo gani fyu! Tamfyonza kama matipa🤣
Hapana sasa hivi ananisikiliza mimi kuliko wewe!Atakugeuka, trust me😅
Si mtu yule 😕Halafu alivyo na roho ngumu akamlombea miso😖
Vya mipango miji au Veta🤣Kuna kipindi alisema yupo kahama, labda vile vyuo vya tourism 😂
View attachment 3620782
Daaah umenipa ukweli mtupu..Sio aifa ila unajikusanyia kila aina ya mikosi na mabalaa.. ukiendelea hivi utashangaa mambo hayendi unaanza kumtafuta mchawi nani! Utamaliza makanisa na waganga kumbe mchawi ni wewe mwenyewe!
Mhuni mmoja hivi ambaye amekufa na ukimwi kwa sababu ya kuendeleza umalayeeerDah Daresalamu mnambo mengi aisee..!
Uyo Jonas ndo nani huko Daresalamu?
Bora sasa nisharelax nilikuwa traumatized unajua😫Si mtu yule 😕
Jamaa alitoa somo ni kwa namna gani alaikua amepania kuha4ibu kabisa
Sifa wepesi mbonaHakutaka buana, alimshurutisha na Matipa hakua na namna
Itakua Veta 😂Vya mipango miji au Veta🤣