Hivi hata huko kwenu watu wenye tamaa kama Jonasi wa “the Polygamist” 🙃 wapo?

Hivi hata huko kwenu watu wenye tamaa kama Jonasi wa “the Polygamist” 🙃 wapo?

Mnakuza sana mambo, huyo Jonas mbona kawaida sana..mtu alikuwa mpka anaoa kuna shida gani?
Nyie nadhani hamjakutana bado na chovya chovya!
Mmmh kama huyo ni kawaida basi chovya chovya wa bongo ni hatari 😕 .
Joyce GIF by NETFLIX (3).gif
 
Mke wa pili (Essie) nampa maua yake.....yule alikuwa wife material bhna afu jembe

Joyce bora angempiga shaba mmewe kuliko kumwekea ule mtego atimae Jonasi akaukwaa..... Joyce ni muuaji

Jonas alikuwa na pepo la ngono yule jamaa.......mana tangu anasoma alikuwa moto kwa chupi.

Yotekwayote wanaume tuzipende famialia zetu tatizo sio upolygamis tatizo ni vipi utaweza kuhandle kwa haki na usawa huo upolygamis.....michepuko ya pembeni ni 💣
 
Mnakuza sana mambo, huyo Jonas mbona kawaida sana..mtu alikuwa mpka anaoa kuna shida gani?
Nyie nadhani hamjakutana bado na chovya chovya!
Tena mimi nampongeza alijali na kuwapenda watoto wake, kuna machovya chovya wengi tu mitaani hawataki kuona mbegu zao walizozipanda.
 
Na hapo ndipo ninaposema Joyce alikosea kutumia ile mbinu maana ugonjwa utarudi ndani ya familia na yeye ataanza kuuguza labda kama Jr alitumia kinga
Hmm sidhani yule pia maneno ya mzee wake yalikuwa yanamtafuna in the name of kumjenga! Kwahiyo anatumia hasira bado! Aisee huo ni mzigo mbona! Matipa akabebe wanae hali sio nzuri😅
 
Mke wa pili (Essie) nampa maua yake.....yule alikuwa wife material bhna afu jembe
Essie wife material, KIVIPI?
Joyce bora angempiga shaba mmewe kuliko kumwekea ule mtego atimae Jonasi akaukwaa..... Joyce ni muuaji
Kwani Janosi alilazimika kutongoza mchepuko mwingine? mwanaume anakuwaje na wanawake wengi vile na haridhiki. Huo ugonjwa alijitakia mwenyewe, Joyce alijua tabia zake!
Jonas alikuwa na pepo la ngono yule jamaa.......mana tangu anasoma alikuwa moto kwa chupi.
Umalayeeer uliopitiliza
Yotekwayote wanaume tuzipende famialia zetu tatizo sio upolygamis tatizo ni vipi utaweza kuhandle kwa haki na usawa huo upolygamis.....michepuko ya pembeni ni 💣
Mtu anaweza kuwa na mke zaidi ya mmoja ila ile tabia kama ya Jonasi lazima tu utaishia pabaya!
 
Tukitoka ndio kama hivi tunakuja kuitwa majina ya ajabu na kusimangwa tumekua single mothers, kuna muda unawaza una bahati mbaya gani kukutana na ibilisi mwenye sura ya binaadam na bado ukazaa nae, 🙌🏻
Inauma sana, mtu unaanza mahusiano vizuri kumbe ndoa nzima imejengwa kwenye foundation ya uongo. Unakuja kugundua too late, una watoto na unaogopa fedheha za familia na kuonekana failure.

Kuna wanawake (labda na wanaume pia) ambao wamebebelea maumivu hayasemeki 🥲🥲🥹
 
Essie wife material, KIVIPI?

Kile chuma cha mjerumani....moyo mgumu adi kuiba maita,kuiosha na kwenda kuistiri kaburini....essie ndo alikuwa anaenda kumuuguze kwa kumpelekea msosi nyumban kwa yule no 4....mbali na apo alipeleka adi chakula nyumbani kwa Joyce sema tu hakupata gepu la kumuuguza mmewe,

Kwani Janosi alilazimika kutongoza mchepuko mwingine? mwanaume anakuwaje na wanawake wengi vile na haridhiki. Huo ugonjwa alijitakia mwenyewe, Joyce alijua tabia zake!

Apo ndo tunasema too much is harmful....

Umalayeeer uliopitiliza

Mtu anaweza kuwa na mke zaidi ya mmoja ila ile tabia kama ya Jonasi lazima tu utaishia pabaya!

Exactly
 
Back
Top Bottom