Nunua chumvi ya mawe oga kila siku ujisafishe hayo mabalaa! cleanse yourself kijana! Unazunguka na mamikosi ya watu, kuna mtu kalala na species kibao huko akikutana na wewe anakutwika mzigo wake! Ukitoka hapo unanuka nuksi tu kuna vitu havikai sehemu chafu! Hivyo jitakase!
Kama wewe ni mtu wa kusali, chukua karatasi orodhesha majina yote unayoyakumbuka ya viumbe ulivyopita navyo! Jifungie chumbani sali kana kwamba umemuona shetani live! Jikane nafsi, omba rehema, jinyenyekeze kwa mola wako, kama ni kulia lia! Tamka maneno ya kuvunja maagano yoyote uliyojiungamanisha na hao watu! Vunja soul ties na hao watu! Jitamkie baraka, jiombee kibali! Washa mshumaa au moto, choma hiyo karatasi huku unanuia kujitakasa kabisa, vunja hizo roho kwa imani yako! Na utajisikia amani rohoni!
Hii ni kwaajili yako akili nyingine zote weka pembeni, tukiza fahamu fanya kwa kumaanisha! Umeanguka, amka jikung’ute mavumbi, Anza upya!