Hivi hata huko kwenu watu wenye tamaa kama Jonasi wa “the Polygamist” 🙃 wapo?

Asante sana Seran
Nashukuru sana... Daah sema nini mpaka nimechoka aisee dooh.. mpaka sasa japo sijakaa kwa kutulia an natanga tanga sio kimwili mpaka ki fikra inafikia kipindi naonea wivu waliopo kaburini et...

Nataka huu mwezi upite bila kugusana na mwanamke baada ya hapo mwezi wa nane naanza na haya yote maana najua takua nipo makazi parmanent..

Nashukuru sana sitosahau haya uliyoongea na naweka kichwani ww ni sehemu fulani ya mabadiliko yangu Seran
Anza sasa hivi! Malizia hii nusu ya mwaka bila kushiriki zinaa! Jitamkie maneno positive tu,Acha kujiwazia udhaifu tu mara kufakufa, unampa shetani kombe! Kuwa na msimamo wether una pesa au huna.. jiamini jiambie ninaweza mimi PB ni mwanaume nina nguvu ninajithamini, hakuna kitu kitanishinda kufanya as long as nipo katika hii dunia! Wengine wamewezaje? Wana macho manne? Hapana! Je ni wema kushinda waliolala? Je mimi ni mkosefu kuzidi watu wote? Hapana! Take a deep breathe..

Anzia hapohapo ulipo wala usiangalie unaokota kiasi gani kila mtu anahangaika kwa style yake, ni vile tu watu hatuongei! Usione kama jua linakuwakia wewe peke yako! Ukifunua mioyo ya watu wengi unaweza ukajikuta ni mmoja kati ya watu wenye unafuu kuliko wote unaohisi wana raha kukuzidi! Mshukuru Mungu hata kwa afya njema tu! Pumzi unayovuta bure.. fumba macho ujitafakari wewe ni nani, na kusudi lako hapa duniani ni nini? Je umekuja kulombana tu au una malengo mengine? Obviously ni malengo, unatamani kazi nzuri, uwe kwako settled!

Hebu ishi ndoto zako, kitu chochote kinachokutoa kwenye reli, kinachokunyima amani kiache mara moja! Usiseme kesho.. fanya sasa hivi! Amka mtu mwingine kabisa jiangalie wewe kama wewe, mambo ya shangazi sijui ndugu walisema, haitakusaidia kitu! Sanasana watapitia mlemle kwenye jambo lako au shida yako wafanye kweli, kwakuwa umeshawapa code unahisi kulogwa au mizimu watapita humohumo! Kaa kimya fanya mambo yako! Change ur mind, change ur circle, change ur life routine, eating habits, thoughts, badili mienendo kabisa! Try ur luck hii miezi sita uone utofauti! Chochote unachotaka kufanya shut ur mouth! Sio kila kitu ni cha kuanika..
 
nilikuwa icu bwana sii mchezo nilikuwa napiga penalty dhidi ya israel....uzuri penalty yake ikagonga mwamba ndio pona yangu
Duuh pole sana mkuu, kwahiyo nusura uondoke duniani na kibamia chako 😂 😂
Confused What Now GIF by Bounce.gif
 
bwn
Duuh pole sana mkuu, kwahiyo nusura uondoke duniani na kibamia chako 😂 😂
View attachment 3620843
bwana weee....warembo wangekosa utam wa kibamiaz. sasa nashulkuru nimerudi ngangari naona warembo wanaanza kunitazuta waonje kibamia ila sasa icu imekidhohofisha kibamia. sahii ata ile 2min x 3 hakiwezi tena sasa ni sekunde 78 tuu kilishatema wadhungu
 
Nilivyokua namuangalia Joyce nilijiona mimi kabisa, tulijua kung'ang'ania mahusiano ili tu watu wasione kua tumeshindwa, na nilivyokua namuangalia Joyce nilikua nakasirika, sikupenda alivyoamua kumuua, yeye angeondoka tu na kuhama mji,
Mtu niliyemsikitikia ni Lindah, ilikua rahisi kurubuniwa sababu ya utoto wake,

Mtaani kuna wanaume washenzi zaidi ya Jonas
 
Anza sasa hivi! Malizia hii nusu ya mwaka bila kushiriki zinaa! Jitamkie maneno positive tu,Acha kujiwazia udhaifu tu mara kufakufa, unampa shetani kombe! Kuwa na msimamo wether una pesa au huna.. jiamini jiambie ninaweza mimi PB ni mwanaume nina nguvu ninajithamini, hakuna kitu kitanishinda kufanya as long as nipo katika hii dunia! Wengine wamewezaje? Wana macho manne? Hapana! Je ni wema kushinda waliolala? Je mimi ni mkosefu kuzidi watu wote? Hapana! Take a deep breathe..

Anzia hapohapo ulipo wala usiangalie unaokota kiasi gani kila mtu anahangaika kwa style yake, ni vile tu watu hatuongei! Usione kama jua linakuwakia wewe peke yako! Ukifunua mioyo ya watu wengi unaweza ukajikuta ni mmoja kati ya watu wenye unafuu kuliko wote unaohisi wana raha kukuzidi! Mshukuru Mungu hata kwa afya njema tu! Pumzi unayovuta bure.. fumba macho ujitafakari wewe ni nani, na kusudi lako hapa duniani ni nini? Je umekuja kulombana tu au una malengo mengine? Obviously ni malengo, unatamani kazi nzuri, uwe kwako settled!

Hebu ishi ndoto zako, kitu chochote kinachokutoa kwenye reli, kinachokunyima amani kiache mara moja! Usiseme kesho.. fanya sasa hivi! Amka mtu mwingine kabisa jiangalie wewe kama wewe, mambo ya shangazi sijui ndugu walisema, haitakusaidia kitu! Sanasana watapitia mlemle kwenye jambo lako au shida yako wafanye kweli, kwakuwa umeshawapa code unahisi kulogwa au mizimu watapita humohumo! Kaa kimya fanya mambo yako! Change ur mind, change ur circle, change ur life routine, eating habits, thoughts, badili mienendo kabisa! Try ur luck hii miezi sita uone utofauti! Chochote unachotaka kufanya shut ur mouth! Sio kila kitu ni cha kuanika..
Daaah sina mengi seran..
Shukrani sana. Ni kweli napitia wakati ambao huku jf ndo ilikua kama hope yaan nikiingia huku naongea mengi sana maana naona hakuna sehemu tayatua haya mambo kichwani.

Shukurani sana seran kwa kunipa hope na elimu ambayo naimani itanifikisha sehemu asante sana
 
Nakuelewa sana! Popote utakapokwama usisite kunitaarifu! Nitachangia hata kwa mawazo tu! Utakaa sawa! Usiruhusu kipindi cha mpito kikupelekeshe! Wengi tunapitia hizo hali ni vile tu hatuongei!
 
Nilivyokua namuangalia Joyce nilijiona mimi kabisa, tulijua kung'ang'ania mahusiano ili tu watu wasione kua tumeshindwa, na nilivyokua namuangalia Joyce nilikua nakasirika, sikupenda alivyoamua kumuua, yeye angeondoka tu na kuhama mji,
Mtu niliyemsikitikia ni Lindah, ilikua rahisi kurubuniwa sababu ya utoto wake,

Mtaani kuna wanaume washenzi zaidi ya Jonas
Lindani alikuwa ana tamaa ya pesa na alitamani maisha ya mwenzie ndio kikamponza! Hivi jonasi alivyoambukizwa ukimwi hakumuambuza kweli?
 
Nakuelewa sana! Popote utakapokwama usisite kunitaarifu! Nitachangia hata kwa mawazo tu! Utakaa sawa! Usiruhusu kipindi cha mpito kikupelekeshe! Wengi tunapitia hizo hali ni vile tu hatuongei!
Daaah yaan nimechoka seriously..
Yaan nimechoka nimepoa..
Nafsi inaumia seran acha tuu.

Yaan hayo uliyonambia leo daah
 
Vipi, umeshawahi kukutana na mtu ambaye hatosheki kingono au kweye mahusiano ya kimapenzi?

View attachment 3620687

Ambao hamjaangalia, inamhusu mbaba anaitwa Jonasi ambaye ana ndoa ya mke zaidi ya mmoja ila bado ana michepuko pembeni ambayo anamudu kufanya nayo ngono bila kuchoka, familia ya siri, ametembea na rafiki wa mtoto wake ana akamgeuza mama mdogo wa watoto wake na mengine mengi.

Shida inakua ni nini mpaka binadamu anakua na matamanio ya ngono ya kiwango cha juu kiasi hicho?

View attachment 3620715

View attachment 3620709

Na je, wanaume wa aina ya Jonasi wapo au hii stori imeongezewa chumvi sana na hakuna uhuni wa kiwango hiko.

View attachment 3620708

Ambao tumeangalia hii shoo tukutane hapa tuifanyie review shoo;
  1. Nani kwenye shoo nzima alikukera kuliko wote?
  2. Scene gani ilikufurahisha au kukuchekesha?
  3. Nani ulimhurumia au alikusikitisha kwa yale aliyoyapitia?
    View attachment 3620707
  4. Unajua kisa cha mwanamke ambaye amepitia magumu kama ya Joyce? na una yapi ya kusema kuhusu Essie na Lindani?
  5. Nafikiri wote tunakubaliana kwamba “Matipa” is that girl!

    View attachment 3620698

    View attachment 3620686
Ni series au?!
 
Nilivyokua namuangalia Joyce nilijiona mimi kabisa, tulijua kung'ang'ania mahusiano ili tu watu wasione kua tumeshindwa, na nilivyokua namuangalia Joyce nilikua nakasirika, sikupenda alivyoamua kumuua, yeye angeondoka tu na kuhama mji,
Mtu niliyemsikitikia ni Lindah, ilikua rahisi kurubuniwa sababu ya utoto wake,

Mtaani kuna wanaume washenzi zaidi ya Jonas
Golden chance never come twice ila hii ilikuja zaidi na zaidi
 
Daaah yaan nimechoka seriously..
Yaan nimechoka nimepoa..
Nafsi inaumia seran acha tuu.

Yaan hayo uliyonambia leo daah
Pole mdogoangu..
Usijiruhusu kuchoka
Kama hubebi matatizo ya ulimwengu, kwanini uchoke? Ni kipi cha ajabu unachopitia ambacho wengine hawakipitii?

Kataa kuchoka!
Jiambie mimi PB, kuanzia leo
Nakataa kuchoka! Rudia rudia itakupa ahueni! Usiruhusu kitu chochote kukunyima raha katika hii dunia! Jipe big hopes! Think big and you’ll grow bruh! Acha kabisa mindset za kukunyong’onyesha! Tamka hapo ulipo hayo maneno niliyokuelekeza yote! Kaa pekeako jitafakari! Ukipata sehemu yenye upepo itapendeza zaidi!
 
Essie yule kisingizio ni wangeishije basi hakuna lolote! Anahisi angeweka wazi jonasi angekosa kazi wakaja kujambiana hapo hawana mbele wala nyuma!
Yeah Essie namuelewa ni ugumu wa maisha, ila nilifurahi mwishoni Magesdha alivyoamua kuwa upande wa Joyce na kusimama naye.
 
Back
Top Bottom