Hivi hata huko kwenu watu wenye tamaa kama Jonasi wa “the Polygamist” 🙃 wapo?

Hivi hata huko kwenu watu wenye tamaa kama Jonasi wa “the Polygamist” 🙃 wapo?

Daaah umenipa ukweli mtupu..
Umenipa ukweli mtupu aiseee
😢😢😢😢😢😢 Huu ni ukweli mtuuu na ndo NAYOPITIA
NDIO mana kuna mtu alinambia hao watu unaopita nao wana roho chafu ambazo unavyobeba kila siku unajiongezea mikosi..

Naapa kuacha huu ujinga naapa kuacha aiseee mara kumi nikae kwanza mwenyew hata mwaka mmoja bila.kuwa karbu na wanawake nifikili kuna sehemu tafika

Asante sana ndgu yangu asante sana...
Naacha sasa aiseeee 😢😢😢🙌🙌🙌🙏
Acha mara moja! Wekeza nguvu zako katika mambo mengine kwa sasa! Make urself useful and be productive!

Jitafakari kesho yako, halafu jikite kwenye issue za kukuingizia zaidi! Sex inaweza kukuvulisha kila kitakachokupa nguvu! Sex inaweza kukubadilishia muelekeo mpaka ukabaki unashangaa kitu gani kilichotokea! Acha kabisa wala sio sifa hii, nakuona mara kibao unajisifia kulala na wanawake kadhaa, looks like u never settled even once in ur life! Ujana wako ni golden age lakini unauhangaisha si mchezo! Tutaniane tu humu.. lakini hiyo trend sio nzuri!

Sex inaogopwa mpaka na waganga na wachungaji wanapotaka kuingia kwenye vilinge na madhabahu zao! Hebu jipe hata mwaka bila kukutana na kiumbe chochote uone utakavyokuwa na uwezo wa ajabu!
 
Mama hivi sijawahi kukupa story kuwa nishawahi lomba mdada mwenye waya..

Oky ilikua hivi..
Kipindi namaliza form four bana kuna mtoto alitokea kunielewa sana sana alafu cha kushangaza alikua bado ajafunuliwa.. ila za chini chini nikawa naambiwa kuwa ana waya.

But kama unavojua bana mapenzi hayachagui nikichek mtoto ana mwamya plus weusi flan hv daah nikadata kabisa.

Basi nikawa nabatua kwa kondomu ila kama unavojua bana kondomu kutumia ni kipaji au kama huna kipaji basi uwe ni mtaalam ambaye umesoma mafunzo ya kubalance.

Bana wee nikawa nakula sometimes bila kinga.. nikaja gundua faida moja ya kinga kuwa ukiwa unatumia kinga unaweza usimwage hata masaa matatu..

Sasa kile kitendo cha kuchelewa kumwaga nikawa naachana na kinga nikawa nakula kavu kavu.

Aiseee nilikula yule mtu nilikula an dooh ikafikia kipindi mtoto akawa haendi pre five anakuja hom tunakiwasha kinoma aiseee..

Alafu muda tunakiwasha mzee alikua hajali wala nini anajua tunasoma et.

Siku anakuja kunipangilia kuwa sijui anatumia dawa mara sijui hiki mara kile daaah nikachoka

All in all nilipimwa kipindi nipo jeshini na majibu yalikua oky maana nilikua naogopa ndo nadunda mpaka leo.

Nimegundua nina damu ya ajabu sana maana nishawahi kula demu huyo ana gono sijui lile ila mi nikatoboa sema alivyokuja kuichapa jamaa angu weee alikojoa moto.
Mwanangu, hebu punguza hizi mambo aiseeeh 😔.
Kupita pita na wanawake tofauti itakuletea matatizo, tafuta girlfriend mmoja unayemwelewa utulie naye.

Kwa huyo hukupata ugonjwa kwa sababu alikua anatumia dawa, mtu anayetumia ARV hawezi kukuambukiza, wenye madhara ni wale wana ugonjwa ila hata wao hawajijui au wale ambao wamegoma kutumia dawa.
Kiufupi wanasayansi nawakaribisha waje kuchunguza blood yangu deep wajue nina H.Cell za namna gani maana sio kwa kuwafaidi huku hawa watu kavu kavu
Inawezekana immunity yako iko juu, ila kadri unavyoendelea unaichosha kupambana na magonjwa tofauti tofauti, kuna wakati utafika na utapata tu hayo magonjwa.

Na pia kuna magonjwa mengine kama HPV ambayo unaweza kuishi nayo hata miaka 20 bila dalili ukaja kuugua uzeeni.

Hebu acha hizo mambo kijana wangu!
 
Mimi ni dada ake Jonas ila kwa mtu mmoja tu mmoja kama dawa 🤣🤣🤣🤣
Mtu mmoja kama ana hamu ya kugegedana kama Jonasi, atakuua.
Mtu anatoka kwa mchepuko kuipiga kwa siri, anapitia kwa mkewe wa pili anamkula na bado akifika kwa mke mkubwa anaiomba tena. Aiseeeh, mtu gani ambaye dyudyu lake halichoki 😵
 
Siwez kuangalia huo upumbavu
Eeeenheeee
Wait What Wtf GIF by Justin.gif
 
Mimi ni mbongo, hulka za watanzania wengi si unazijua mzee mwenzangu!!
Ndiyo maana mimi kila nikiona wanaume wanalalamika humu kwenye nyuzi, nacheka napita zangu vile maana huko kwa ground mambo ni tofauti kabisa!

Hawa wakina Jonasi wenye nyumba ndogo za kudumu, michepuko, watoto wa nje ya ndoa - ndiyo tunaishi nao kwenye jamii zetu na ni kawaida tu.
 
Acha mara moja! Wekeza nguvu zako katika mambo mengine kwa sasa! Make urself useful and be productive!

Jitafakari kesho yako, halafu jikite kwenye issue za kukuingizia zaidi! Sex inaweza kukuvulisha kila kitakachokupa nguvu! Sex inaweza kukubadilishia muelekeo mpaka ukabaki unashangaa kitu gani kilichotokea! Acha kabisa wala sio sifa hii, nakuona mara kibao unajisia kulala na wanawake kadhaa, looks like u never settled even once in ur life! Ujana wako ni golden age lakini unauhangaisha si mchezo! Tutaniane tu humu.. lakini hiyo trend sio nzuri!

Sex inaogopwa mpaka na waganga na wachungaji wanapotaka kuingia kwenye vilinge na madhabahu zao! Hebu jipe hata mwaka bila kukutana na kiumbe chochote uone utakavyokuwa na uwezo wa ajabu!
😢😢😢😢😢🙌🙌🙌🙏🙏
Daaah wee ndgu leo ume change mood yangu kabisa aiseeee an sina raha hapa aiseee sina raha kabisa an umenifanya nikae kwa kuwaza tu an mood yote imekata aiseeee...

Umeongea vitu ambavyo sikuambiwa kabla an nastuka mwishoni huku kabisa an dooh nilikua nawaza sana shida nini mbna mambo yameanza kua hovyo na haya yalianza baada ya kuingia tu kwenye mahusiano ya ajabu ajabu..

Nilijaribu kuongea na ma aunt zangu upande wa baba wakawa wanasema ni mambo ya tambiko sijui. Ila sasa naona kabisa shida ipo wapi..

Hi mikosi sijui nirudi kwa mama tuu nikaoshwe kwanza maana miaka mitatu tangu nimalize chuo sielewi sielwi aiseee
 
Mwanangu, hebu punguza hizi mambo aiseeeh 😔.
Kupita pita na wanawake tofauti itakuletea matatizo, tafuta girlfriend mmoja unayemwelewa utulie naye.

Kwa huyo hukupata ugonjwa kwa sababu alikua anatumia dawa, mtu anayetumia ARV hawezi kukuambukiza, wenye madhara ni wale wana ugonjwa ila hata wao hawajijui au wale ambao wamegoma kutumia dawa.

Inawezekana immunity yako iko juu, ila kadri unavyoendelea unaichosha kupambana na magonjwa tofauti tofauti, kuna wakati utafika na utapata tu hayo magonjwa.

Na pia kuna magonjwa mengine kama HPV amabyo unaweza kuishi nayo hata miaka 20 bila dalili ukaja kuugua uzeeni.

Hebu acha hizo mambo kijana wangu!
Daah naacha kabisa..
Unajua nimepoa gafla naskia mpaka bard an seran kuna maneno kaniambia hapa daaah nafsi mpaka inauma kwa ndani kabisa aiseeee
 
Back
Top Bottom