Hivi hata huko kwenu watu wenye tamaa kama Jonasi wa “the Polygamist” 🙃 wapo?

Hivi hata huko kwenu watu wenye tamaa kama Jonasi wa “the Polygamist” 🙃 wapo?

Jamaa alimgombeza sana kijana wake kua anaogopa sana wanawake hana maamuzi kama wa kiume ila kilichonifikisha sana ni kuona Jonas anatembea na yule binti aliyekua anafukuziwa na yule kijana wake
Kwa kauli ya unapata mpenzi kutoka kwenye mahusiano ya mtu
Halafu na kijana baada ya baba yake kufa, scene ya mwisho kwenye msiba ni Menzi amemuinamisha msichana huyo huyo anamkula. Itakua kijana amerithi tabia za baba yake ilikua ni swala la muda tu kabla naye hajaanza uhuni.

Joyce GIF by NETFLIX (9).gif


Joyce GIF by NETFLIX (8).gif
 
Watu aina ya Baltazar hapa bongo ni wengi sana, sema tu kwa vile hatujulikani sana na siri zetu hazijavuja kama za huyo mwamba.

Ila zinachapwa na multiple partners kwa sana tu.
 
Hivi huchoki mwanangu, huyu Jonasi alikufa na Ukimwi, angalia na wewe tusije kukuzika.
Mama hivi sijawahi kukupa story kuwa nishawahi lomba mdada mwenye waya..

Oky ilikua hivi..
Kipindi namaliza form four bana kuna mtoto alitokea kunielewa sana sana alafu cha kushangaza alikua bado ajafunuliwa.. ila za chini chini nikawa naambiwa kuwa ana waya.

But kama unavojua bana mapenzi hayachagui nikichek mtoto ana mwamya plus weusi flan hv daah nikadata kabisa.

Basi nikawa nabatua kwa kondomu ila kama unavojua bana kondomu kutumia ni kipaji au kama huna kipaji basi uwe ni mtaalam ambaye umesoma mafunzo ya kubalance.

Bana wee nikawa nakula sometimes bila kinga.. nikaja gundua faida moja ya kinga kuwa ukiwa unatumia kinga unaweza usimwage hata masaa matatu..

Sasa kile kitendo cha kuchelewa kumwaga nikawa naachana na kinga nikawa nakula kavu kavu.

Aiseee nilikula yule mtu nilikula an dooh ikafikia kipindi mtoto akawa haendi pre five anakuja hom tunakiwasha kinoma aiseee..

Alafu muda tunakiwasha mzee alikua hajali wala nini anajua tunasoma et.

Siku anakuja kunipangilia kuwa sijui anatumia dawa mara sijui hiki mara kile daaah nikachoka

All in all nilipimwa kipindi nipo jeshini na majibu yalikua oky maana nilikua naogopa ndo nadunda mpaka leo.

Nimegundua nina damu ya ajabu sana maana nishawahi kula demu huyo ana gono sijui lile ila mi nikatoboa sema alivyokuja kuichapa jamaa angu weee alikojoa moto.

Kiufupi wanasayansi nawakaribisha waje kuchunguza blood yangu deep wajue nina H.Cell za namna gani maana sio kwa kuwafaidi huku hawa watu kavu kavu
 
Watu aina ya Baltazar hapa bongo ni wengi sana, sema tu kwa vile hatujulikani sana na siri zetu hazijavuja kama za huyo mwamba.
Naona hujasita kuji-include kwenye hilo kundi mzee mwenzangu 😂😂

Joyce GIF by NETFLIX (11).gif

Ila zinachapwa na multiple partners kwa sana tu.
Mnawapa mizigo wake zenu, mpaka wanaamua kuwaua kabla hamjawaua na magonjwa!
Huyu jamaa alisetiwa mwanamke ambaye ana ukimwi, na anavyopenda umalayeeer kweli alivyomuona tu akamtongoza na akaukwaa ugonjwa.
 
Back
Top Bottom