Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
- Thread starter
- #101
Niamini unatutukana kijana?Niamini mm mamaa
Niamini unatutukana kijana?Niamini mm mamaa
Lakini mila na desturi ilikua inamruhusu Jonas kufanya hivyoMtu mmoja kama ana hamu ya kugegedana kama Jonasi, atakuua.
Mtu anatoka kwa mchepuko kuipiga kwa siri, anapitia kwa mkewe wa pili anamkula na bado akifika kwa mke mkubwa anaiomba tena. Aiseeeh, mtu gani ambaye dyudyu lake halichoki 😵
Hujajibu swali 😂Jamaa alitoa somo ni kwa namna gani alaikua amepania kuha4ibu kabisa
Ikitokea nafasi nafanya hivyo tu kiongoziHujajibu swali 😂
Mimi haikunitraumatize ila nilishangaa tu, hasa wanawake ambao bado walikua wanakubali kuendelea naye hata baada ya kupigwa matukio. Mfano Essie, kwanini alimfanyie vile mwanae??Bora sasa nisharelax nilikuwa traumatized unajua😫
Nunua chumvi ya mawe oga kila siku ujisafishe hayo mabalaa! cleanse yourself kijana! Unazunguka na mamikosi ya watu, kuna mtu kalala na species kibao huko akikutana na wewe anakutwika mzigo wake! Ukitoka hapo unanuka nuksi tu kuna vitu havikai sehemu chafu! Hivyo jitakase!😢😢😢😢😢🙌🙌🙌🙏🙏
Daaah wee ndgu leo ume change mood yangu kabisa aiseeee an sina raha hapa aiseee sina raha kabisa an umenifanya nikae kwa kuwaza tu an mood yote imekata aiseeee...
Umeongea vitu ambavyo sikuambiwa kabla an nastuka mwishoni huku kabisa an dooh nilikua nawaza sana shida nini mbna mambo yameanza kua hovyo na haya yalianza baada ya kuingia tu kwenye mahusiano ya ajabu ajabu..
Nilijaribu kuongea na ma aunt zangu upande wa baba wakawa wanasema ni mambo ya tambiko sijui. Ila sasa naona kabisa shida ipo wapi..
Hi mikosi sijui nirudi kwa mama tuu nikaoshwe kwanza maana miaka mitatu tangu nimalize chuo sielewi sielwi aiseee
Ni ujinga sana, sasa mtu kuloa sana ndiyo inazuia magonjwa? halafu unakuta ni mtu mwenye elimu kabisa anakuambia mambo ya kipuuzi hivyo!Labda aliamini zaidi katika ufundi wake asingeweza kupata hayo maradhi ndo wale wazee wa hakikisha amelowa kabisa
its an addiction, kama zingine tu, the more you get it the more they want it.
....they still want more
Mmmhhh!!!! the more them get it the more them want it......
View: https://youtu.be/oVipkLVhmt8?si=q1Vq5WvgMOVpnmBT
Essie yule kisingizio ni wangeishije basi hakuna lolote! Anahisi angeweka wazi jonasi angekosa kazi wakaja kujambiana hapo hawana mbele wala nyuma!Mimi haikunitraumatize ila nilishangaa tu, hasa wanawake ambao bado walikua wanakubali kuendelea naye hata baada ya kupigwa matukio. Mfano Essie, kwanini alimfanyie vile mwanae??
Hivi swala la chumvi ya mawe hua liko sirias ivi?Nunua chumvi ya mawe oga kila siku ujisafishe hayo mabalaa! cleanse yourself kijana! Unazunguka na mamikosi ya watu, kuna mtu kalala na species kibao huko akikutana na wewe anakutwika mzigo wake! Ukitoka hapo unanuka nuksi tu kuna vitu havikai sehemu chafu! Hivyo jitakase!
Kama wewe ni mtu wa kusali, chukua karatasi orodhesha majina yote unayoyakumbuka ya viumbe ulivyopita navyo! Jifungie chumbani sali kana kwamba umemuona shetani live! Jikane nafsi, omba rehema, jinyenyekeze kwa mola wako, kama ni kulia lia! Tamka maneno ya kuvunja maagano yoyote uliyojiungamanisha na hao watu! Vunja soul ties na hao watu! Jitamkie baraka, jiombee kibali! Washa mshumaa au moto, choma hiyo karatasi huku unanuia kujitakasa kabisa, vunja hizo roho kwa imani yako! Na utajisikia amani rohoni!
Hii ni kwaajili yako akili nyingine zote weka pembeni, tukiza fahamu fanya kwa kumaanisha! Umeanguka, amka jikung’ute mavumbi, Anza upya!
Asante sana SeranNunua chumvi ya mawe oga kila siku ujisafishe hayo mabalaa! cleanse yourself kijana! Unazunguka na mamikosi ya watu, kuna mtu kalala na species kibao huko akikutana na wewe anakutwika mzigo wake! Ukitoka hapo unanuka nuksi tu kuna vitu havikai sehemu chafu! Hivyo jitakase!
Kama wewe ni mtu wa kusali, chukua karatasi orodhesha majina yote unayoyakumbuka ya viumbe ulivyopita navyo! Jifungie chumbani sali kana kwamba umemuona shetani live! Jikane nafsi, omba rehema, jinyenyekeze kwa mola wako, kama ni kulia lia! Tamka maneno ya kuvunja maagano yoyote uliyojiungamanisha na hao watu! Vunja soul ties na hao watu! Jitamkie baraka, jiombee kibali! Washa mshumaa au moto, choma hiyo karatasi huku unanuia kujitakasa kabisa, vunja hizo roho kwa imani yako! Na utajisikia amani rohoni!
Hii ni kwaajili yako akili nyingine zote weka pembeni, tukiza fahamu fanya kwa kumaanisha! Umeanguka, amka jikung’ute mavumbi, Anza upya!
nilikuwa icu bwana sii mchezo nilikuwa napiga penalty dhidi ya israel....uzuri penalty yake ikagonga mwamba ndio pona yangu
Ohoo.. acha kabisa!Hivi swala la chumvi ya mawe hua liko sirias ivi?
Bwashee hakikisha unakunywa bia kwa afyaAsante sana Seran
Nashukuru sana... Daah sema nini mpaka nimechoka aisee dooh.. mpaka sasa japo sijakaa kwa kutulia an natanga tanga sio kimwili mpaka ki fikra inafikia kipindi naonea wivu waliopo kaburini et...
Nataka huu mwezi upite bila kugusana na mwanamke baada ya hapo mwezi wa nane naanza na haya yote maana najua takua nipo makazi parmanent..
Nashukuru sana sitosahau haya uliyoongea na naweka kichwani ww ni sehemu fulani ya mabadiliko yangu Seran
Unaoga mara moja tu?Ohoo.. acha kabisa!
Pole mwanangu na yazingatie aliyokuambia na tilia maanani.Daah naacha kabisa..
Unajua nimepoa gafla naskia mpaka bard an seran kuna maneno kaniambia hapa daaah nafsi mpaka inauma kwa ndani kabisa aiseeee
Yeah mzimbabwe 💯Hehehe black Mercedes sio! Nimeona mpaka majina kitakuwa kizuri, 2012 kabisa na ni mzimbabwe!
Mmmmmmmhhh!Hii ngoma ya bwana Busy signal naikubali sana.
Hard drugs.