Hivi hata huko kwenu watu wenye tamaa kama Jonasi wa “the Polygamist” 🙃 wapo?

Hivi hata huko kwenu watu wenye tamaa kama Jonasi wa “the Polygamist” 🙃 wapo?

Nilivyokua namuangalia Joyce nilijiona mimi kabisa, tulijua kung'ang'ania mahusiano ili tu watu wasione kua tumeshindwa,
Wanawake wengi sana wanateswa na hili jambo na kuamua kupitia mateso ya ajabu ili tu waisionekane wameshindwa ndoa.
na nilivyokua namuangalia Joyce nilikua nakasirika, sikupenda alivyoamua kumuua, yeye angeondoka tu na kuhama mji,
Anamuachaje na mwanaume yuko tayari kumuua kwa magonjwa ila talaka kagoma kumpa.
Mtu niliyemsikitikia ni Lindah, ilikua rahisi kurubuniwa sababu ya utoto wake,
Yeah, alikuwa groomed akaingia kwenye mtego baadaye akaota mapembe.
Mtaani kuna wanaume washenzi zaidi ya Jonas
💯 ni kweli!
 
Bored Celebrity Big Brother GIF by Big Brother.gif
 
Wanaume tumeundwa kuzakisha, kujua hilo sikiliza wataamu afya ya uzazi wanavyo sema mwanaume mshindo mmoja unaweza kutungisha mimba milioni kadhaa.
Hii ni sayansi ya wapi mkuu?
Tamaa tuliowekewa wanaume kama isingekuwa hivyo kusingekuwa na uzazi.
Kama hii ni point, basi sisi wanawake tuna kiungo kwa ajili ya kusikia raha ya kimapenzi tu na hakina kazi nyingine yoyote, je hiyo ni sababu ya kutaka kujustify kufanya ngono na wanaume tofauti tofauti? au bado mna imani wanawake hawana matamanio ya kingono ni nyie wanaume tu ndiyo mnayo?
Kwa ufupi wanaume wote tunatamani kulala na kila mwanamke anaye tuvutia ila tu tuna jilinda na kuvunilia kwa ajili ya ustawi wa jumla .
Ni udhaifu na kukosa self control, labda aliyewaumba ndiyo alitaka muwe dhaifu hivyo!
 
Nmeangalia yote. Ila imetiwa chumvi sana. Sio kwa kupenda mbususu kiasi kile....

Anayekera ni mtoto wa Jonas yule wa kiume.

Pia mke wake naye jau sana alikua hamtoshei mwamba pia alikua after status na mali...

Ila funika wote ni kaka yake Jonas alikua loyal sana.

Funga kazi mwamba mwenyewe Jona mpaka anakufa aligoma kuomba msamaha...
 
Lindani alikuwa ana tamaa ya pesa na alitamani maisha ya mwenzie ndio kikamponza! Hivi jonasi alivyoambukizwa ukimwi hakumuambuza kweli?
Hatutakiwi kumjudge Linda sababu alikua mtoto (17 yrs), umri huo kurubunika ni rahisi sana ukizingatia familia yake ni maskini marafiki zake ni matajiri, lazima aliambukizwa na yeye
 
Wanawake wengi sana wanateswa na hili jambo na kuamua kupitia mateso ya ajabu ili tu waisionekane wameshindwa ndoa.

Anamuachaje na mwanaume yuko tayari kumuua kwa magonjwa ila talaka kagoma kumpa.

Yeah, alikuwa groomed akaingia kwenye mtego baadaye akaota mapembe.

💯 ni kweli!
Tukitoka ndio kama hivi tunakuja kuitwa majina ya ajabu na kusimangwa tumekua single mothers, kuna muda unawaza una bahati mbaya gani kukutana na ibilisi mwenye sura ya binaadam na bado ukazaa nae, 🙌🏻
 
Back
Top Bottom