Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 15,052
- 36,866
Mbwa huyu! Hapa mbele ya mamkwee! Kuna viumbe🙌🏾
Anafikiri mke wa pili kumbe yuko namba tatu huko na Gonorrhoea juu 😂 😂Matipa mwanzoni alikuwa headache lakini kadri muda unavyozidi kusogea alianza kuelewa mambo yanavyoenda!
Ila jonasiii!🤣 Ni cancer!!🙌🏾
View attachment 3620714
Masikini, nilimuhurumia sana! Na alivyozaa tu jonasi akaanza drama! Anaitaka na mtu yuko kwenye uzazi! Aisee..😁Anafikiri mke wa pili kumbe yuko namba tatu huko na Gonorrhoea juu 😂 😂
Huyu alikua ni hatari, labda naye watamtengenezea shoo ya Netflx, halafu mbona kama wanataka kufanana na huyu Jonas 😂Kwani humjui Baltazar Engonga wa Equatorial Guinea?
Hapa migegedo umeiona wapi dogo?Aunt
Why Always the same thing ?
Migegedo tu kwa mbere
Six o'clockHapa migegedo umeiona wapi tena dogo?
Ndiyo katoka tu hospitali na C-section, mzee anataka shoo 😂 alinikasirisha kwenye hiyo scene 😵Masikini, nilimuhurumia sana! Na alivyozaa tu jonasi akaanza drama! Anaitaka na mtu yuko kwenye uzazi! Aisee..😁
Hii hapaNdiyo katoka tu hospitali na C-section, mzee anataka shoo 😂 alinikasirisha kwenye hiyo scene 😵
Kuna namna wanyoa VIPARA wako! 😆😆 Lakini ninyi si hupenda mwanaume mashine. Nilidhani wanaume wa kariba hii ni mashujaa kwenu 😅Huyu alikua ni hatari, labda naye watamtengenezea shoo ya Netflx, halafu mbona kama wanataka kufanana na huyu Jonas 😂
View attachment 3620717