Hivi hawa DSTV wanatuchukuliaje Watanzania?

Tunapoelekea bado utafute midish yako upate michannel ya bure tu.
 
UKIONA HAIFAI ACHANA NAYO

MBONA MNAKUWA MITUMWA NYIE

ova
 
Mi ndio maana napendaga cartoon Tu.....maaana ndio hazibadilishwi badilishwi kijinga
 
Ww ushaambiwa Kila Kitu Kitapanda Unaalama Nini? Wasiliana na Jumong mlimalize
 
Tulia dawa iwaingie ,uchumi WA Kati WA nioko
 
Hujalazimishwa kununua
 
Ukisema wanaoweza kuandamana watoke mbele kupinga mfumuko wa bei.
Trust me utajikuta peke yako barabarani.
Mko radhi kuandamana kushibisha matumbo yenu Kwa muda Ila hampo radhi kuingia madarakani kuifurusha madarakani serikali ya CCM iliyowafukarisha babu zenu , Baba zenu , nyie wenyewe na hata vitukuu wenu
 
vita ya Ukraine na Urusi
 
Wanajiona keki sana, dawa yao iko jokoni
 
[emoji23][emoji23] acha uwongo... ina maanisha channel ya aljazeera ni bure endapo kifurushi kimeisha?!
Mimi kikiisha hawakat mazima, wanaonndoa channel pendwa kwanza siku ya kwanza, halafu siku ya pili wanaacha local halafu ya tatu zote. Sema home now nina cha demo kuna mtu kaniachia nikifaidi mpaka hapo atakapokihitaji. Full channel free bila malipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…