Hivi hawa DSTV wanatuchukuliaje Watanzania?

nunua dishi la free to air wala hautalipia hata senti au nunua decoda ya canal+ bei zao kitonga na unaona ligi zote za ulaya na movies za kutosha kwa 30000 tu ila lugha kifaransa
Canal+ shida Iko KWENYE malipoo.
 
Vita ni mbayaaaa sanaaaa aloooo unaeza kuta unabadilishiwa adi mke ivi iviiiiii🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
nunua dishi la free to air wala hautalipia hata senti au nunua decoda ya canal+ bei zao kitonga na unaona ligi zote za ulaya na movies za kutosha kwa 30000 tu ila lugha kifaransa
Wamebadilisha lugha kutoka kifaransa?
 
Pambana na hali yako mkuu.
 
Taja chaneli moja iliyohamishwa kwenda compact plus
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…