Hivi hawa marefa wa kibongo huwa mna watoa kijiji gani?

Dah! yaani nilitamani kuvunja video pale nilipoona refa anaongeza dakika 7' tukio hili limesababisha kuwavunja nguvu wachezaji wa jkt na kuweza kufungwa,,
Ila Simba Sc mmebebwa na refa! dakika 7' si bora angeOngeza hata 4'
vipi hapa yanga na dk 7?
 
Umenikumbusha enzi za ferguson na fergie time!! Walikutana na wajomba liver muda wa nyongeza torres km sikosei akawafunga.

Hizo dk wanacheza wote uwanjani.
 
Wizzziii mtupu
Alafu jiwe anamchukia mwakembe wakati wanao uaribu mpira wa Tz wamejazana msimbazi,
 
Hivi hawa BMT na wizara husika hawana ubavu kwa TFF au mpaka mh.Rais azungumzie madudu ya TFF na Bodi ya ligi?
 
Hivi hawa BMT na wizara husika hawana ubavu kwa TFF au mpaka mh.Rais azungumzie madudu ya TFF na Bodi ya ligi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…