Hivi Hawa walimu wapo wapi? Mkandawile, Mama Shija, Ndosi, Ngalawa..

Mkandawire alifundisha Tambaza tuition 1996.
 
mkanda boy,mzee wa suti,tulikuwa tunajazana pale mtendeni,sijui yupo wapi aisee huyu alistahili tuzo aisee
 
mkanda boy,mzee wa suti,tulikuwa tunajazana pale mtendeni,sijui yupo wapi aisee huyu alistahili tuzo aisee

Hahahaa... Nimekumbuka ile suti yake ya damu ya mzee..!
 
"Jinalo we kote linatajikaa..hapa alisomeshwa Baba yetu wa Taifa,Tabora School kichwa cha Tanzaniaaa"...dah umenikumbusha mbali sana!!hapo napiga msuli wa Chemia chini ya mwembe,huku nawaza disko na Tabora Girls!au kwenda Tukutuku!
Umesema umemaliza 2003 na unazungumzia disco Tabora girls mlikuwa mshapatana nao? maana mimi nilitoka 2001 kulikuwa na ugomvi wa kufa mtu.
 
mkanda boy aka pugu boy aka fanga boy ok mud boy,mtiga , side boy mzee wa fasta au mzee wa benyurizi theorem, maku maku mzee wa dna pande za makongo pongezi wakuu hawwa cozi wengi tulipita kwao mpaka kufika univasity
 
Umesema umemaliza 2003 na unazungumzia disco Tabora girls mlikuwa mshapatana nao? maana mimi nilitoka 2001 kulikuwa na ugomvi wa kufa mtu.

Sijasema nimesoma tabora girls .Nimesema marafil zangu wengi walipelekwa hapo
 
ulitoka na mbwembwe,nakumbuka sister p alikulima f kwenye anatomy
 
shijja was a great teacher and a guardian, mkandawire bahati mbaya hakunifundisha maana tulipishana only one year

lakini nadhani pamoja na akili kichwani, alikosa maarifa, angekua mbali sana

ndosi kumbukumbu zangu zinasema he was abusive to children pale muhi2, na ngalawa lazma alikua anafundisha zule za uzunguni

kwa wale wa Tambaza, SAVIMBI yuko wapi?
 

Ha ha haa hapo anaongezea kijana utafanya nini?kijana utafail..mkanda boy..kla kla..
 

Usinimbie Ndosi alikuwa abusive jesus
 
Hivi yule muchant or merchant wala hata jina lake tabu .hivi alikuwa ni mwalimu au ujinga ulimjaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…