Kamili Gado
JF-Expert Member
- Jan 10, 2013
- 386
- 97
Mkandawile nilisikia alikopa bankwaa pesa akaanzisha shule huko huko maeneo ya pugu, kashindwa kulipa deni akanyang'anywa na bankwaa.
Ha ha haa hapo anaongezea kijana utafanya nini?kijana utafail..mkanda boy..kla kla..
Mkandawile alikula sana bata baada ya kuanzisha shule yake.akawa analala guest house na warembo wa kila aina anayotaka.
baada ya ku collapse akaenda mwanza kuna shule ya secondary ya seminary anafundisha.
Kabla ya kufundisha alituambiaga historia yake duh tulilia maana aliletwa na ndugu yake Tanzania basi uko Tanga Mkanda alikuwa house boy na alikuwa analazwa Kwenye zizi la Ng'ombe .akatoroka akaanza shule sasa hapa ninaposikia alikopa million 500 Mara wanawake.kweli maisha yanabadilikamke wake hakuwa anaitwa beutiful kama unafuatilia lecture alikuwa anamwita Classical
Hahahaaa... Akiwapa swali gumu mkiwa mnahangaika kulifanya utasikia akisema " Kwa mwalimu ambaye hana uzoefu atafikiri kijana ameelewa, Kuuuumbeee boy haoniiiiiii" Leo nimefurahi sana kumkumbuka huyu Mwl.
Halafu anafundisha anafika katikati (hapo hana kitabu,wala daftar) eeh kwa wale wenye notes za mwaka jana,ongezeeni hii (when pairing begins,the direction of the electrons must be in opposite direction) n pairing is only possible when each orbital occupy at least 1 electron..sawa vijana..?halafu anakuambia,vijana hawajaeeleewa..klaaa!du mkanda alikuwa bonge ya ticha kwa kweli!mkuu wewe ulisoma wapi?
Alitupa pia historia yake siku moja tulikuwa home kwake anatupiga pindi,jamaa alikuwa na watoto hardly wamepishana labda miezi 9 tisa...sasa akawa anasema..unajua vijana,my classical (wife wake) tulikuwa tunamgombania na Busanji,nikapiga mimba ya kwanza,heee busanji boy bado akawa anafukuzia,nikapiga ya pili haraka haraka(klaaa shabash),jamaa bado hakukata tamaa,nikatandika ya tatu haraka haraka...busanji mikono juu..mkanda ni nini..mkanda boy...klaaa!
Umemsahau "So much" alinifundisha chemistry tuisheni pale makongo na rafiki yake 'Makumaku'Hivi Bado wanafundisha ?
"yellow boy"
Hivi Bado wanafundisha ?