Hivi hawa wanaokula kipindi hiki cha mfungo wa Ramadhan na Kwaresma ni hawana dini au ndo wanajiendekeza?

African Geek

JF-Expert Member
Joined
Jul 29, 2022
Posts
817
Reaction score
1,470
Wana jamii kwema?. Leo nikiwa kwenye mizunguko yangu. Nikakutana na sahani za misosi zinapitishwa mchana kweupe watu wanapiga misosi fresh yani. Kabla macho hayajatulia vizuri naona juisi zina miminwa.

Sasa nikawa najiuliza hivi huu mwezi si Waislam na Wakristo funga imetukuta sote kwa pamoja. Sasa hawa wanaokula na kunywa mchana kweupe ni kina nani?

Muwe na mfungo mwema wa Ramadhan na Kwaresma.
 
Wana jamii kwema?. Leo nikiwa kwenye mizunguko yangu. Nikakutana na sahani za misosi zinapitishwa mchana kweupe watu wanapiga misosi fresh yani. Kabla macho hayajatulia vizuri naona juisi zina miminwa...
wana dini zao wanazoziamini tofauti na zenu. Acheni watu wale kama nyie mmeamua kwa utashi wenu kujinyima chakula mchana ili mmfurahishe mungu wenu awasamehe madhambi yenu endeleeni na funga zenu
 
Wewe umemfungia mtu?

Ambao hawajafunga, kuna namna yeyote inakuathiri?

Mind your Business my Brother.
 
Wana jamii kwema?. Leo nikiwa kwenye mizunguko yangu. Nikakutana na sahani za misosi zinapitishwa mchana kweupe watu wanapiga misosi fresh yani. Kabla macho hayajatulia vizuri naona juisi zina miminwa...
For Your Information:
Tanzania siyo nchi ya Waislam na Wakristu pekee.

Kuna Wapagani, Waamini dini za jadi, Hindu, Budha, Sikh, Jain, Zoroaster, Bahai, n.k....hao wote mambo yenu ya kufunga hayawahusu.
 
wana dini zao wanazoziamini tofauti na zenu. Acheni watu wale kama nyie mmeamua kwa utashi wenu kujinyima chakula mchana ili mmfurahishe mungu wenu awasamehe madhambi yenu endeleeni na funga zenu
Umeongea pointi mkuu
 
Wana jamii kwema?. Leo nikiwa kwenye mizunguko yangu. Nikakutana na sahani za misosi zinapitishwa mchana kweupe watu wanapiga misosi fresh yani. Kabla macho hayajatulia vizuri naona juisi zina miminwa...
Sasa unatupangia kula mkuu.Dini za kuletwa na wazungu na waarabu zinatuhusu nini sisi wabantu wajukuu wa mtemi mirambo.
 
For Your Information:
Tanzania siyo nchi ya Waislam na Wakristu pekee.
Kuna Wapagani, Waamini dini za jadi, Hindu, Budha, Sikh, Jain, Zoroaster, Bahai, n.k....hao wote mambo yenu ya kufunga hayawahusu.
Anatulazimisha tusile mkuu.Nadhani akili yake imeflip kidogo kuhusu meaning of life
 
Back
Top Bottom