Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
Unatuonea gere tukila kiti moto na ugali pale kitambaa cheupe mchana huu.Acha husda Abdalah🤣🤣🤣Wana jamii kwema?. Leo nikiwa kwenye mizunguko yangu. Nikakutana na sahani za misosi zinapitishwa mchana kweupe watu wanapiga misosi fresh yani. Kabla macho hayajatulia vizuri naona juisi zina miminwa.
Sasa nikawa najiuliza hivi huu mwezi si Waislam na Wakristo funga imetukuta sote kwa pamoja. Sasa hawa wanaokula na kunywa mchana kweupe ni kina nani?
Muwe na mfungo mwema wa Ramadhan na Kwaresma.