MastaKiraka
JF-Expert Member
- Jan 10, 2015
- 5,736
- 18,648
mnafunga au mmejizima data na kubadilisha ratiba ya kula??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwamba atulize mshono 😂😂😂Sisi ni freemason mkuu
Bora hata usemee wee.mnafunga au mmejizima data na kubadilisha ratiba ya kula??
Wanashangaza mnoo kwa kweliiMoja kati ya ujinga wa watu weusi, hudhani kwamba dini ni muhimu sana,
Ujinga mwingine ni kudhani kuwa kila mtu anafungamana na dini flani.!!