Hivi hawa wanaokula kipindi hiki cha mfungo wa Ramadhan na Kwaresma ni hawana dini au ndo wanajiendekeza?

Hivi hawa wanaokula kipindi hiki cha mfungo wa Ramadhan na Kwaresma ni hawana dini au ndo wanajiendekeza?

Ila wakuu, kula kitimoto rost kilo mbili na ndizi wakati wa mfungo wa Ramadhan ni moto fire 🙌
 
Moja kati ya ujinga wa watu weusi, hudhani kwamba dini ni muhimu sana,

Ujinga mwingine ni kudhani kuwa kila mtu anafungamana na dini flani.!!
 
Sio kila mtu anaweza kuwa mnafiki wanaofunga wengi wanafikiii...
 
Chamsingi kufunga nikuacha matendo mabaya nakutenda mema sio kubadili diet.
Kunamaana gani unacha kula mchana huku usiku unafanya uzinzi?!
Kuacha chakula kuendane nakusudio la kuacha maovu kwamajuto kuomboleza na kukiri wazi wazi kuwa ni mkosaji hivyo kusudio lakuacha kula kuwe kama sadaka ya wazi kwa maksudio hayo.
 
Back
Top Bottom