African Geek
JF-Expert Member
- Jul 29, 2022
- 817
- 1,470
Wengine hawajafunga wamerudishia tu acha kuwapangiaWana jamii kwema?. Leo nikiwa kwenye mizunguko yangu. Nikakutana na sahani za misosi zinapitishwa mchana kweupe watu wanapiga misosi fresh yani. Kabla macho hayajatulia vizuri naona juisi zina miminwa...
Hii nchi sio ya waislam na wakristo peke yakeWana jamii kwema?. Leo nikiwa kwenye mizunguko yangu. Nikakutana na sahani za misosi zinapitishwa mchana kweupe watu wanapiga misosi fresh yani. Kabla macho hayajatulia vizuri naona juisi zina miminwa...
Ushauri mzuri sana huu.Hamia Naijeria kaka.
Bingo utakwazika Tu
wana dini zao wanazoziamini tofauti na zenu. Acheni watu wale kama nyie mmeamua kwa utashi wenu kujinyima chakula mchana ili mmfurahishe mungu wenu awasamehe madhambi yenu endeleeni na funga zenuWana jamii kwema?. Leo nikiwa kwenye mizunguko yangu. Nikakutana na sahani za misosi zinapitishwa mchana kweupe watu wanapiga misosi fresh yani. Kabla macho hayajatulia vizuri naona juisi zina miminwa...
Kuna kitu kinafikirisha Sana.... Zanzibar 99% ni waislam lakini mwezi wa ramadhani chakula kinapanda bei (demand inazidi supply) hii ikojeHii nchi sio ya waislam na wakristo peke yake
Wewe umemfungia mtu?Wana jamii kwema?. Leo nikiwa kwenye mizunguko yangu. Nikakutana na sahani za misosi zinapitishwa mchana kweupe watu wanapiga misosi fresh yani. Kabla macho hayajatulia vizuri naona juisi zina miminwa...
Kwaresma ni ya Waroman mkuu, si ya Wakristo.Wana jamii kwema?. Leo nikiwa kwenye mizunguko yangu. Nikakutana na sahani za misosi zinapitishwa mchana kweupe watu wanapiga misosi fresh yani. Kabla macho hayajatulia vizuri naona juisi zina miminwa...
Wananunua kwa ajili ya kupika Jioni.Kuna kitu kinafikirisha Sana.... Zanzibar 99% ni waislam lakini mwezi wa ramadhani chakula kinapanda bei (demand inazidi supply) hii ikoje
For Your Information:Wana jamii kwema?. Leo nikiwa kwenye mizunguko yangu. Nikakutana na sahani za misosi zinapitishwa mchana kweupe watu wanapiga misosi fresh yani. Kabla macho hayajatulia vizuri naona juisi zina miminwa...
Umeongea pointi mkuuwana dini zao wanazoziamini tofauti na zenu. Acheni watu wale kama nyie mmeamua kwa utashi wenu kujinyima chakula mchana ili mmfurahishe mungu wenu awasamehe madhambi yenu endeleeni na funga zenu
Sasa unatupangia kula mkuu.Dini za kuletwa na wazungu na waarabu zinatuhusu nini sisi wabantu wajukuu wa mtemi mirambo.Wana jamii kwema?. Leo nikiwa kwenye mizunguko yangu. Nikakutana na sahani za misosi zinapitishwa mchana kweupe watu wanapiga misosi fresh yani. Kabla macho hayajatulia vizuri naona juisi zina miminwa...
Anatulazimisha tusile mkuu.Nadhani akili yake imeflip kidogo kuhusu meaning of lifeFor Your Information:
Tanzania siyo nchi ya Waislam na Wakristu pekee.
Kuna Wapagani, Waamini dini za jadi, Hindu, Budha, Sikh, Jain, Zoroaster, Bahai, n.k....hao wote mambo yenu ya kufunga hayawahusu.
Sisi Allah ambae ni Mungu wa waarabu hatumtambui,na Mungu wetu Yesu hajatulazimisha kufunga mkuu.Wana jamii kwema?. Leo nikiwa kwenye mizunguko yangu. Nikakutana na sahani za misosi zinapitishwa mchana kweupe watu wanapiga misosi fresh yani. Kabla macho hayajatulia vizuri naona juisi zina miminwa..