Nelson Jacob Kagame
JF-Expert Member
- Dec 26, 2022
- 9,576
- 13,545
Unatuonea gere tukila kiti moto na ugali pale kitambaa cheupe mchana huu.Acha husda Abdalah🤣🤣🤣Wana jamii kwema?. Leo nikiwa kwenye mizunguko yangu. Nikakutana na sahani za misosi zinapitishwa mchana kweupe watu wanapiga misosi fresh yani. Kabla macho hayajatulia vizuri naona juisi zina miminwa.
Sasa nikawa najiuliza hivi huu mwezi si Waislam na Wakristo funga imetukuta sote kwa pamoja. Sasa hawa wanaokula na kunywa mchana kweupe ni kina nani?
Muwe na mfungo mwema wa Ramadhan na Kwaresma.
Mind your own please.Wana jamii kwema?. Leo nikiwa kwenye mizunguko yangu. Nikakutana na sahani za misosi zinapitishwa mchana kweupe watu wanapiga misosi fresh yani. Kabla macho hayajatulia vizuri naona juisi zina miminwa.
Sasa nikawa najiuliza hivi huu mwezi si Waislam na Wakristo funga imetukuta sote kwa pamoja. Sasa hawa wanaokula na kunywa mchana kweupe ni kina nani?
Muwe na mfungo mwema wa Ramadhan na Kwaresma.
Ni kwa sababu watu hupenda kula vizuri ili wafidie pale ambapo pamepwaya kutiwa chakula mchana.Kuna kitu kinafikirisha Sana.... Zanzibar 99% ni waislam lakini mwezi wa ramadhani chakula kinapanda bei (demand inazidi supply) hii ikoje
Kufunga kwa wakristo ni tofauti na ufungaji wa waislamu..!!Wana jamii kwema?. Leo nikiwa kwenye mizunguko yangu. Nikakutana na sahani za misosi zinapitishwa mchana kweupe watu wanapiga misosi fresh yani. Kabla macho hayajatulia vizuri naona juisi zina miminwa.
Sasa nikawa najiuliza hivi huu mwezi si Waislam na Wakristo funga imetukuta sote kwa pamoja. Sasa hawa wanaokula na kunywa mchana kweupe ni kina nani?
Muwe na mfungo mwema wa Ramadhan na Kwaresma.
Kumbuka Kuna Watu ni Wagonjwa wanatumia dawa Kali Kama .ARV, una vidonda vya tumbo. Kumbuka Kuna Watu hawamini dini yoyote wao mradi Mambo Yao yanakwenda,Kumbuka Kuna Watu hawaamini kabisa Uwepo wa Mungu huyo wa Waarabu na Wazungu kumbuka tu Imani ni Jamba hiyari. Halafu acha Upuuzi Mungu hazihakiwi kwa kubadili majira ya kula kwamba eti nifunga Mchana Usiku unakula muda woteWana jamii kwema?. Leo nikiwa kwenye mizunguko yangu. Nikakutana na sahani za misosi zinapitishwa mchana kweupe watu wanapiga misosi fresh yani. Kabla macho hayajatulia vizuri naona juisi zina miminwa.
Sasa nikawa najiuliza hivi huu mwezi si Waislam na Wakristo funga imetukuta sote kwa pamoja. Sasa hawa wanaokula na kunywa mchana kweupe ni kina nani?
Muwe na mfungo mwema wa Ramadhan na Kwaresma.
Wewe hangaika na dini yako acha watu waleWana jamii kwema?. Leo nikiwa kwenye mizunguko yangu. Nikakutana na sahani za misosi zinapitishwa mchana kweupe watu wanapiga misosi fresh yani. Kabla macho hayajatulia vizuri naona juisi zina miminwa.
Sasa nikawa najiuliza hivi huu mwezi si Waislam na Wakristo funga imetukuta sote kwa pamoja. Sasa hawa wanaokula na kunywa mchana kweupe ni kina nani?
Muwe na mfungo mwema wa Ramadhan na Kwaresma.
Kwahiyo jioni wanakula zaidi ya siku ambazo hawajafunga? Maana mahitaji ya chakula yanaongezeka ndio maana bei zinapandaWananunua kwa ajili ya kupika Jioni.
Huyu kwa wana wa Taliban ndiyo panamfaa.Hamia Naijeria kaka.
Bingo utakwazika Tu
Majira ya msosi yanabadilikaKuna kitu kinafikirisha Sana.... Zanzibar 99% ni waislam lakini mwezi wa ramadhani chakula kinapanda bei (demand inazidi supply) hii ikoje