- Thread starter
- #21
Hili nalo wazo zuri. Kampuni za simu nazo zitoe ushirikiano kukomesha wizi wa simu na pesa.Tapeli anafanya utapeli,namba yake imesajiliwa chini ya kampuni husika ya simu na kampuni inajua kabisa kuwa hiyo namba ni ya tapeli na inanyamazia.
Ila ikitokea kila utapeli unapofanyika na makampuni ya simu yanapewa penati ndefu, huu utapeli utakoma.