Hili nalo wazo zuri. Kampuni za simu nazo zitoe ushirikiano kukomesha wizi wa simu na pesa.Tapeli anafanya utapeli,namba yake imesajiliwa chini ya kampuni husika ya simu na kampuni inajua kabisa kuwa hiyo namba ni ya tapeli na inanyamazia.
Ila ikitokea kila utapeli unapofanyika na makampuni ya simu yanapewa penati ndefu, huu utapeli utakoma.
Ndio hao hao wenye mamlakaBado napata meseji zao. Sielewi hizi namba wanazotumia kama zimesajiliwa kwa NIDA na alama za vidole wanapata wapi ujasiri wa kutapeli watu maana kuwakamata ni jambo rahisi. Mamlaka husika nataka jibu vinginevyo kazi imewashinda.
Serikali ije na suluhisho haraka iwezekavyo. Tumechoka na haya mambo. Na mimi naweka hili kama kigezo kama mnataka kura yangu mwaka huu. Mkipuuza itakula kwenu. Haiwezekani watu tuwaamini halafu mambo yanakuwa holelaholela kiasi hiki.TCRA kitengo cha cyber security wanachojua ni kukamata watu wanaompinga Raisi tu... Kushughulikia kesi za wizi wa mtandaoni aah... Matapeli wamejaa kila kona sasa hivi, mara watu wa mikopo, mara nafasi jeshini. Na watanzania wengi hawana uelewa wa mambo mengi hivyo kutapeliwa ni rahisi sana.
Hawafanyi kazi haoo mpaka sasa nshawatumia namba zaidi ya 4 za matapeli na nyingine zinajirudia.Wakanishauri nizipeleke polisi sasa sijui wao kuzipeleka wanashindwa nini?TCRA na kitengo cha cyber wanatia aibu, haiwezekani mgundue namna ya kutulipisha kodi kwa luku ila majizi hayashikwi! Ukipoteza simu same case, kama haina docs za muhimu bora uiache tu mana utatumia gharama za kununua simu ingne
Hawafanyi kazi haoo mpaka sasa nshawatumia namba zaidi ya 4 za matapeli na nyingine zinajirudia.Wakanishauri nizipeleke polisi sasa sijui wao kuzipeleka
Waziiri mhusika na watendaji wako mjitafakari na Kama mkijiona katika hili hamtoshi afadhali muachie ngaziHawafanyi kazi haoo mpaka sasa nshawatumia namba zaidi ya 4 za matapeli na nyingine zinajirudia.Wakanishauri nizipeleke polisi sasa sijui wao kuzipeleka wanashindwa nini?
Kwa kusema hivyo unahalalisha utapeli wa aina zote.mamlaka zipo sawa kuwaacha wajinga mpigwe unaambiwaje tuma hela kwa namba hii na mtu usie mjua na wewe kama zuzu unatuma halafu unaenda kuilaumu mamlaka kwa ujinga wako
Nimefanya mara nyingi sana sioni ahueni yoyoteForward hyo meseji yà utapeli kwenda namba 15040. Hapo utakuwa umeiripoti
Hawafanyi chochote mimi kuna namba niliiripoti kwenye hiyo namba zaidi ya mara 3.Nikawasiliana nao kwa njia nyingine .Wakaishia kunishauri tu eti nikaripoti polisi.Forward hyo meseji yà utapeli kwenda namba 15040. Hapo utakuwa umeiripoti
Kweli kazi imewashindaBado napata meseji zao. Sielewi hizi namba wanazotumia kama zimesajiliwa kwa NIDA na alama za vidole wanapata wapi ujasiri wa kutapeli watu maana kuwakamata ni jambo rahisi. Mamlaka husika nataka jibu vinginevyo kazi imewashinda.
Ilikuwaje ukaacha kutoa taarifa TAKUKURU kwamba unadaiwa rushwa na polisi?Polisi wanapenda rushwa sana ndio wafanye kazi, bila hivyo hakuna msaada utapata...
Wapo maeneo ya bungoni ilala mafao house ukifika unauliza pale chini watu wa ku track simu utaelekezwa ofisi zao sina namba zao kkKumbe ni mpaka nitembeze fungu🤔 Mama yetu Samia na mawaziri wako mnasikia hayo madudu?? Mkuu hebu nipe contact za hao watu private nicheki nao. Please dm me
ukiwa mjinga au ukiendekeza tamaa utatapeliwa tu na hakuna wa kumlaumu zaidi ya ujinga wako au tamaa zakoKwa kusema hivyo unahalalisha utapeli wa aina zote.
Huwa yanapatia mara nyingine!Ila hawa jamaa wanabahatisha na wanapata, me juzi nimeponea chupuchupu
Nilimpigia simu mkewangu nyumbani nikamuagiza achukue pesa mahali akamtumie mtu, na nilikuwa na haraka, hivyo nikamwambia atoke awahi kwa wakala halafu namba ya huyo mtu nitamtumia.
Basi kabla hajafika kwa wakala nikawa nishamtumia hiyo namba, akatuma hiyo hela. Lakini dakika chache baada ya kutuma tu, meseji ya majamaa wa tuma kwa namba hii ikaingia kwenye simu yake.
Dah! ya tulipishana kidogo tu
Upuuzi mtupu. Waziri mhusika njoo hapa utoe neno. What are you and your whole staff doing in the office? Kama kazi imewashinda jiondoeni mkae pembeni.,Hawafanyi chochote mimi kuna namba niliiripoti kwenye hiyo namba zaidi ya mara 3.Nikawasiliana nao kwa njia nyingine .Wakaishia kunishauri tu eti nikaripoti polisi.