Mimi sio chadema kwa taarifa yako! Ni ccm kabisa! Kama hadi leo hujui watu wanapanga maandamano ni kina nani? Pole sana wewe ambae sio nyumbu! 29.10 Tanzania mpya!Sisi sio manyumbu lazima tuhoji kama vipi muingie wenyewe chadema tuone kama mtaweza kuandamana hata lisaa limoja tu bila kusambaratishwa
Mange kimambi alienzisha hii ishu Kila siku anasema lissu aachiwe kama ajenda unafikiri watanzania wajinga sioAmna chama kinauisishwa wewe Kuna siku umemsikia heche kaongea kuhusu maamdamano ko tulia hii ni Gen z na Millennial generation on trip together
Ko wewe hapo una humia nini lissu kuachiwa mbona una wivu wa kiboya boya sasa kwamba mange kimambi harusiwi kuomba lissu aachiwe?? Na uo ujinga wa wa tz uko hapi hapa kwani wanao panda mwendokasi route ya kimara ni chadema tu??Mange kimambi alienzisha hii ishu Kila siku anasema lissu aachiwe kama ajenda unafikiri watanzania wajinga sio
Mpanga maandamano ni mnge kimambi hamna mtu mwingine yeyote aliepanga na ndio kinara wa kumtaja lissu aachiwe kwenye ajenda za maandamanoMimi sio chadema kwa taarifa yako! Ni ccm kabisa! Kama hadi leo hujui watu wanapanga maandamano ni kina nani? Pole sana wewe ambae sio nyumbu! 29.10 Tanzania mpya!
NaamTuandamane tukadai uchaguzi hutru na haki kura ya mwananchi iheshimike.
Kutajwa kwa lissu au chadema nikwasababu nawao wnamsimamo unaendana na hoja za maandamano
We fara kweli kwahiyo hayo ni maandamano ya chadema wananchi wasio chadema hayawahusu au maana kama jela wapo watu wengi mbona wengine hawataji anamtaja lissu unafikiri sisi ni wajinga kama weweKo wewe hapo una humia nini lissu kuachiwa mbona una wivu wa kiboya boya sasa kwamba mange kimambi harusiwi kuomba lissu aachiwe?? Na uo ujinga wa wa tz uko hapi hapa kwani wanao panda mwendokasi route ya kimara ni chadema tu??
Wewe na nani wakati zube hapa ni wewe peke ako 😄We fara kweli kwahiyo hayo ni maandamano ya chadema au maana kama jela wapo watu wengi mbona wengine hawataji anamtaja lissu unafikiri sisi ni wajinga kama wewe
Tusichoshane bwana, kama inakuuma watu kumtaja Lissu usiandamane! Me hata akitajwa shetani nitaandamana bora shetani kuliko samia na ccm mtandao!Mpanga maandamano ni mnge kimambi hamna mtu mwingine yeyote aliepanga na ndio kinara wa kumtaja lissu aachiwe kwenye ajenda za maandamano
Kwahiyo nyie mnaona uovu anaofanyiwa lissu tu wengine waliosingiziwa kesi hamuwaoni kwakua lissu ni mwenyekiti wenu okay kumbe ni maandamano ya uovu wanaofanyiwa chadema na si wananchi waliopo nje ya chadema hongereni tarehe 29 ingieni barabarani peke yenu mkipate maana hata lisaa hamuwezi kuwatingisha polisi mtachezea rungu za kutosha kama pale mahakamani na mlivyokua waoga hamna ushirikiano kazi mnayo Hilo lenu wananchi halituhusuMaandamano ni ya kupigania nchi lkn utakapokuwa unaandamana utakuwa unasukumwa na uovu anaofanyiwa Lisu, watu waliouawa na kutekwa.
Andamaneni peke yenu kumbe mpo Kwa ajili ya chadema na si nchi shenzi Bora nilale sio kufa Kwa ajili ya wajinga ingekua kufia nchi sawa ila sio chadema Bora nimegundua mapema Hilo lenu sisi wananchi siku yetu ya barabarani itakuja tu kama tulivyoshughulika na mwendokasiTusichoshane bwana, kama inakuuma watu kumtaja Lissu usiandamane! Me hata akitajwa shetani nitaandamana bora shetani kuliko samia na ccm mtandao!
Usituchoshe. Wala hujaombwa ushiriki. Chawa wewe!Kwahiyo nyie mnaona uovu anaofanyiwa lissu tu wengine waliosingiziwa kesi hawaoni okay kumbe ni maandamano ya uovu wanaofanyiwa chadema na si wananchi waliopo nje ya chadema hongenreni tarehe 29 ingieni barabarani peke yenu mkipate maana hata lisaa hamuwezi kuwatingisha polisi
Nimewaza kama wewe mkuu..ni wazi mwamba anatuchora t.. ni mjinga pekee ambaye bado hajatambua matendo maovu yanayoendelea nchini..Bila shaka wewe ni miongoni mwa Wapinga maandamano.Husitahili kujibiwa chochote
Taifa!Tuandamane tukadai uchaguzi hutru na haki kura ya mwananchi iheshimike.
Kutajwa kwa lissu au chadema nikwasababu nawao wnamsimamo unaendana na hoja za maandamano
Mimi na watanzania wasio chademaWewe na nani wakati zube hapa ni wewe peke ako 😄
Hivyo ujionao Tanzania yenu,mmeamua kuwa bagua mnaowatambua chadema sio.Sasa naelewa kwanini kila chombo kilichopewa mamlaka iwe maamuzi,haki,kisiasa ama kiuchumi jukumu ni kuwaumiza mlioamua kuwabagua sio?Mimi na watanzania wasio chadema
Ha ha ha, kama mpaka sasa hivi huelewi kitu basi wewe zezeta la Lumumba.Unajua Kuna jambo silielewi haya maandamano ya tarehe 29 ni ya CHADEMA au wananchi wote tujue kabisa maana Kila sehemu Hawa wahamasishaji wanatamtaja mwenyekiti wa CHADEMA Lissu ina maana tunaenda kufa kwa ajili ya Lissu au nchi sielewi ujue wazee naomba tueleweshane Kwa watu kama sisi tusio na vyama Ili tusiingie kwenye mambo yasiyotuhusu tulale nyumbani siku hiyo.