stonecutter
JF-Expert Member
- Jun 12, 2022
- 2,446
- 3,616
Kwani wewe mkuu ni sababu ipi inayokufanya uandamane tarehe 29/10 tofauti na wale wa sababu ya Tundu Lissu?.M
msitufanye hatuna akili Kuna vipeperushi vimeandikwa lissu aachiwe wakati huyo ni mwenyekiti wa chadema Sasa hiyo ya lisu inahusiana vipi na sisi wananchi
Duuh aiseeNi ya CDM tu ila kwa wasiojua watafata mkumbo tu
Be agenda ni lissu okay siku hiyo nitapiga usingizi mzitooo uhai hauchezewi sababu ukiondoka haurudiKwani wewe mkuu ni sababu ipi inayokufanya uandamane tarehe 29/10 tofauti na wale wa sababu ya Tundu Lissu?.
Kwani maandamano ni ya Nini!? Je kinachowaafnya kuandamana wewe hakikuhusu au kinakuhusu!?Unajua Kuna jambo silielewi haya maandamano ya tarehe 29 ni ya CHADEMA au wananchi wote tujue kabisa maana Kila sehemu Hawa wahamasishaji wanatamtaja mwenyekiti wa CHADEMA Lissu ina maana tunaenda kufa kwa ajili ya Lissu au nchi sielewi ujue wazee naomba tueleweshane Kwa watu kama sisi tusio na vyama Ili tusiingie kwenye mambo yasiyotuhusu tulale nyumbani siku hiyo.
Ishu sio chama na Kila siku anatajwa lissu na chadema pambaneni na Hali yenu tu nyie chadema tumestukia mchongo kwanza watu Gani Kila utawala mnapinga yaani magufuli mlimpinga sana Sasa pambaneni na demokrasia si ndio hii ya samiaKwani maandamano ni ya Nini!? Je kinachowaafnya kuandamana wewe hakikuhusu au kinakuhusu!?
Kama kweli unaumia na kuteseka na maisha ya Sasa..hata CUF wakiitisha maandamano ya kidai Haki Toka junge nao...
Kwa Hali ilivyo Sasa hapa Tz na mambo yanayosemwa kama ni ya kweli ( japo ni ya kweli hupaswo kuambiwa hili) Toka kaandamane bila kujali wewe ni chama gani.
Na kingine inatakiwa kueleweka...Ishu sio Chamade, Wala CCM ..hata kama ccm watatawala.milele ila Haki iwepo na watu wasikilizwe.
Wakiwa wao pekee yao mtamkomoa nani? Kwani ccm inauza rasilimali za chadema mkuu? Ccm inauza raslimali za watanganyika wote yani wewe mwana ccm na watoto wako hata asiye na chama ccm haijari.Wakiendelea hivi Watajikuta wapo wao peke yao barabarani
Yesu alipingwa hadi kusulubiwa mkuu. Hata lissu akiwa Rais leo atapingwa tu.Ishu sio chama na Kila siku anatajwa lissu na chadema pambaneni na Hali yenu tu nyie chadema tumestukia mchongo kwanza watu Gani Kila utawala mnapinga yaani magufuli mlimpinga sana Sasa pambaneni na demokrasia si ndio hii ya samia
Unajua Kuna jambo silielewi haya maandamano ya tarehe 29 ni ya CHADEMA au wananchi wote tujue kabisa maana Kila sehemu Hawa wahamasishaji wanatamtaja mwenyekiti wa CHADEMA Lissu ina maana tunaenda kufa kwa ajili ya Lissu au nchi sielewi ujue wazee naomba tueleweshane Kwa watu kama sisi tusio na vyama Ili tusiingie kwenye mambo yasiyotuhusu tulale nyumbani siku hiyo.
Sasa wewe hutaki Lissu achiwe?Mange kimambi alienzisha hii ishu Kila siku anasema lissu aachiwe kama ajenda unafikiri watanzania wajinga sio
KyumamakoyeNyie wajinga wa CCM na chadema mtajijua wenyewe mnagombania madaraka Ili mtufanye mang'ombe yenu milele kulipa Kodi Bora muuane muishe shenzi kabisa wananchi tutaanzisha chama chetu sio huo ujinga wenu yaani maandamano ya chama chenu Cha chadema mnataka sisi wananchi tufe hiyo haipo siku ikifika sisi wananchi tutaifia nchi yetu ila sio kumfia lisu na chadema
Umehama CCM?Unajua Kuna jambo silielewi haya maandamano ya tarehe 29 ni ya CHADEMA au wananchi wote tujue kabisa maana Kila sehemu Hawa wahamasishaji wanatamtaja mwenyekiti wa CHADEMA Lissu ina maana tunaenda kufa kwa ajili ya Lissu au nchi sielewi ujue wazee naomba tueleweshane Kwa watu kama sisi tusio na vyama Ili tusiingie kwenye mambo yasiyotuhusu tulale nyumbani siku hiyo.
Kama huelewi kinachoendelea kaa nyumbani kata nyanya na vitungu hiyo show ya tarehe 29 achana nayoUnajua Kuna jambo silielewi haya maandamano ya tarehe 29 ni ya CHADEMA au wananchi wote tujue kabisa maana Kila sehemu Hawa wahamasishaji wanatamtaja mwenyekiti wa CHADEMA Lissu ina maana tunaenda kufa kwa ajili ya Lissu au nchi sielewi ujue wazee naomba tueleweshane Kwa watu kama sisi tusio na vyama Ili tusiingie kwenye mambo yasiyotuhusu tulale nyumbani siku hiyo.
Wewe tulia tu nyumbani, waache wanaoona umuhimu wa maandamano waandamane. Hakuna anayelazimishwa kwa mtutu wa bunduki kwenda kuandamana.Sisi sio manyumbu lazima tuhoji kama vipi muingie wenyewe chadema tuone kama mtaweza kuandamana hata lisaa limoja tu bila kusambaratishwa
Nadhani ni kutokana na mazingira ya kisiasa aliyopitia kiongozi huyu kiasi cha wananchi kuamini kwamba ni kiongozi ambaye anauwezo wakuwatetea dhidi ya tawala kandamizi #MTAZAMOTU.Jibu swali kwanini anatajwa lissu na chadema kwenye ajenda za maandamano kwanini zisitaje shida zinazotuhusu watanzania tu