GE2025 Hivi haya maandamano ya tarehe 29 ni ya CHADEMA au mbona sielewi?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Ni ya keyboard warriors wanaoishi kwa shemeji zao na shangazi zao wanasubiri kwenda chuo mwezi ujao
 
Kwahiyo wanachadema sio Wanainch ww zuzu kweli unawashwawashwa na lissu kishenzi shida nini wivu wote Lissu kuwa mentioned kwan hujui ni public figure kwa upande wa wanainch weng wanaoonewa lissu ni mfano kati ya wengi au ulitaka watajwe wote
 
Maandamani ni ya WANANCHI, CHADEMA HAIHUSIKI! CHADEMA NI WAANZILISHI WA NO REFORMS NO ELECTION, TOFAUTI NA HAPO MAANDAMANO NI YA WANANCHI!
 
Cdm inahusikaje ss ndugu?
Watu wamefungiwa kufanya chochote kwenye hili wanaingiaje?
Soma vipepershi ndo utaelewa kuwa inapiganiwa tz sio mtu au chama
 

Tuongee ukweli ,hakutakuwa na maandamano ya waTZ hawa wa mitandaoni ,wanachofanya hao wanaosema kuna maandamano ni kwamba siku hiyo maaskari watakuwa wengi na hivyo kuwatisha raia kutoka kwenda kupiga KURA ,lengo lao la kuzuia uchaguzi ni kwamba wananchi wasijitokeze kwenda kupiga kura na hilo litafanikiwa kwa 90%.

Wanachokisahau wanaharakati ni kwamba kura tayari zishapigwa ,WATU WASHATIKIWA ,nina uhakika wataojitokeza kupiga kura hawatozidi 10% ila matokeo ya NEC yatakayotoka zaidi ya 90% watakuwa WAMETIKIWA.
 
Mange kimambi alienzisha hii ishu Kila siku anasema lissu aachiwe kama ajenda unafikiri watanzania wajinga sio
Sikiliza wewe mpumb..avu

Ajenda sio Lisu kama unavyolazimisha hapa, zipo ajenda nyingi sana zenye uzito hiyo ya Lisu kuachiwa itakuwa ni matokeo tu baada ya makusudio makuu kutimia.. haya hizi hapa ajenda rasimi.
 

Attachments

  • FB_IMG_1759518941484.jpg
    65.8 KB · Views: 25
Ingieni wenyewe chadema barabarani siku hiyo sisi hatuna huo mda wa kufa kwa ajili ya chadema na lissu washike dola hao ccm wakivurunda sisi kama wananchi tusio na chama tutaingia barabarani kuwatoa hapo lakini sio kushurutishwa na walafi wa madaraka chadema hiyo haipo kapigweni marungu peke yenu na mlivyokua hamna ushirikiano plus uoga kazi mnayo
 
Yesu alipingwa hadi kusulubiwa mkuu. Hata lissu akiwa Rais leo atapingwa tu.

Sana sana kama hutaki kupingwa uwe malaika.
Basi kama Kila mtu anapigwa tuwaache ccm waendelee kuongoza kumbe huwa mnapinga ilimradi mmepinga kumbe ccm wanaongoza vizuri ila ni ulafi wenu wa madaraka octoba 29 nalala
 
Sasa wewe hutaki Lissu achiwe?

Mange Kimambi hajawahi kuwa Chadema. Kila mtu wakiwemo ccm wanataka Lissu aachiwe.

Maandamano ni ya sisi wananchi.
Kumbe ni maandamano ya kumpigania lissu aachiwe basi nendeni peke yenu nyie chadema si ndio mwenyekiti wenu mpigwe marungu Ili lissu aachiwe ila sio sisi watanzania tusio na vyama
 
Ulimsikia lini kiongozi wa Chadema katoa tamko la maandamano?

Hapo ni wananchi na kero zote za taifa..!!
Mange kimambi muanzilishi wa haya maandamano kichwa kumtaja lissu mwenyekiti wa chadema
 
Kwahiyo wanachadema sio Wanainch ww zuzu kweli unawashwawashwa na lissu kishenzi shida nini wivu wote Lissu kuwa mentioned kwan hujui ni public figure kwa upande wa wanainch weng wanaoonewa lissu ni mfano kati ya wengi au ulitaka watajwe wote
Basi nendeni peke yenu wanachadema kwenye hayo maandamano tuwaone mnavyoshugulikiwa na mlivyokua waoga Mimi nitakua nawafuatilia lIve ITV
 
Sikiliza wewe mpumb..avu

Ajenda sio Lisu kama unavyolazimisha hapa, zipo ajenda nyingi sana zenye uzito hiyo ya Lisu kuachiwa itakuwa ni matokeo tu baada ya makusudio makuu kutimia.. haya hizi hapa ajenda rasimi.
Tushastuka hayo ni ya chadema nendeni wenyewe mkapigwe marungu na mlivyokua waoga msiokua na ushirikiano
 
Cdm inahusikaje ss ndugu?
Watu wamefungiwa kufanya chochote kwenye hili wanaingiaje?
Soma vipepershi ndo utaelewa kuwa inapiganiwa tz sio mtu au chama
Huyo muanzilishi wa maandamano kukicha kumtaja lissu kana kwamba ndio mtuhumiwa pekee tanzania anaeonewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…