Uchumi wa kati huoWacheni wapiga kura. Serikali ya wanyonge hii. Uchafu kitu gani bhana. Mtu akilipa buku 20 asibughuziwe hata kigogo.
Arusha inatisha yaani ni zaidi ya UchafuNdugu ni nchi nzima. Ni aibu. Miji yote ni michafu.
Arusha ni balaa tupu, ni aibu.
Serikali zote Duniani ndo zinavyo fanya? Kuwa hamasisha wafanya raia wao wafanye Uchuuzi?Bila mabanda vijana wasio na ajira watafanya nini?Kuna nguvu kazi kubwa kuriko uchumi unavyoweza kuwatumia,nguvu kazi kubwa lakini uwezo wake unatumia kwa asilimia 5 tu,kila kijana anayeingia kwenye soko la kazi,lazima atatafuta Cha kufanya,apake rangi za kucha,auze leso mbili,atauza nyanya fungu mbili,atauza mahindi,
Lakini ni shughuri ambazo hazikizi mahitaji yake muhimu,badala ya kuzalisha 100,uchumi unampa nafasi ya kuzalisha 10,tu,ndio hayo mabanda
Hìi sio solution. Watu kuweka mabanda mabaya barabarani sehemu ya wapita njia haiwasaidii lolote. Tena wengi wao watakuwa wanafanya shughuli haramu ili kukidhi mahitaji yao, huwezi kuishi kwa kuuza dodoki barabarani.Bila mabanda vijana wasio na ajira watafanya nini?Kuna nguvu kazi kubwa kuriko uchumi unavyoweza kuwatumia,nguvu kazi kubwa lakini uwezo wake unatumia kwa asilimia 5 tu,kila kijana anayeingia kwenye soko la kazi,lazima atatafuta Cha kufanya,apake rangi za kucha,auze leso mbili,atauza nyanya fungu mbili,atauza mahindi,
Lakini ni shughuri ambazo hazikizi mahitaji yake muhimu,badala ya kuzalisha 100,uchumi unampa nafasi ya kuzalisha 10,tu,ndio hayo mabanda
Barabara ya Uhuru toka Ilala boma mpaka stesheni hakuna njia za waenda kwa miguu.sehemu zao zote wameweka vimeza vyao.harafu wanajua kujenga hivyo vimeza vinatosha kabisa.Kilichofanyika sasa waenda kwa miguu wanapita barabarani wanahatarisha maisha mbaya sana.Kariakoo wametapakaa hadi sehemu za wapita njia, watembea kwa miguu sasa inabidi tubanane kwenye barabara kuu. Makonda alianza kuwatoa barabarani baadae akapigwa stop.
Acha tu na barabara za Arusha zilivyo nyembamba, unatembea mpaka unashangaa mwenyewe kwanini hujagongwa.Arusha inatisha yaani ni zaidi ya Uchafu
Acha upuuzi wako tumekula Hivyo vyakula toka miaka hiyo na hakuna ugonjwa wa inni .ebu fika pale cbe,Ifm, kila kichochoro wamejaa mama lishe na mazingira hayohayo lakini tumepata wachumi safi na wahasibu na hakuna Cha inni wala kipindupindu.Hatari hawa wanaopika vyakula bila kuzingatia Afya .Nearly wasiwasi Raia wengi kuambukizwa ugonjwa wa ini yani Hepatitis.
Kwakuwa unakula bure unaona Kama maisha rahisi Sana !!!!. Mpuuzi wewe utamkunja samaki ambaye ameshaoza unafikiri atakunjika hapo atamwagika tu.Walishaambiwa wasisumbuliwe wafanye popote na hivi karibuni watapewa vitumbulisho kuhalalisha kabisa....hakuna mkuu WA mkoa atakayewatoa..... Badae wakitaka kuwatoa itakuwa ngumu sana...Naona wameanza kujivuta flyover ubungo pale chini. ..... Samaki mkunje angali mbichi..
Pamoja na yote hayo hakuna aliyegongwa na gari na maisha yanasonga tu Watu wanapiga hela na Wanafunzi wa vyuo vikuu vya Uchumi Kama hapa Tz IFM na CBE kutoka Mozambiq na Angola wanakuja kujifunza huo mfumo wa Uchumi na kuupeleka kwao wewe bado unabwabwaja tu huna unalolijua .Barabara ya Uhuru toka Ilala boma mpaka stesheni hakuna njia za waenda kwa miguu.sehemu zao zote wameweka vimeza vyao.harafu wanajua kujenga hivyo vimeza vinatosha kabisa.Kilichofanyika sasa waenda kwa miguu wanapita barabarani wanahatarisha maisha mbaya sana.Halafu vile vibajaji mataa ya msimbazi na uruhu ni kero nyingine kabisa.ukipita town mamlaka za majiji zimeishia kushika wrong parking za wastaarabu wenye magari tuu