secret file
JF-Expert Member
- Sep 10, 2019
- 5,838
- 8,653
Acha ujinga ww......Ukiwa unakula bure au amemaliza tu chuo na kupata ajira huwa mnaona Maisha rahisi Sana na unakuja na viushauri vya kipuuzi na unasahau kuwa Kuna wenzako toka wamalize chuo hawajapata hata laki tano na imeshapita miaka kumi. Huku tunakotafuta ridhiki Kuna Mambo mengi Sana nakushauri inakusaidia nini kupendeza usoni wakati huna uhakika wa Kula. Pakishapendeza hapo Morocco panawasaidia nini walala hoi .Acha ujinga Watu wanaishi maisha duni Sana na wanatafuta wateja popote walipo wamuuzie angalau hata pipi na karanga ili apate faida ya kupata kununua unga ale na wanae. Siku ukimuona mama kabeba mtoto mgongoni na kajitisha beseni anauza mihogo au dizi ujue huyo anatafuta hela ya Kula tu siyo kufanikiwa. Acha dharau kwakuwa hujawahi lala njaa waliwahi kusota ndiyo waliowaruhusu hao Watu wafanye biashara maana wanajua nini maana ya njaa.
binadamu mwenye akili anatakiwa apangilie mambo......
sio kufanya biashara hovyo hovyo Alaa!!