MasterGamaliel
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 999
- 1,094
Chukueni Kama Sera ya Upinzani, kwamba uchaguzi wa 2025 mtawaondoa wote kuweka majiji/miji Safi. Ni kweli ni Uchafu na kiuchumi ni upotevu wa mapato ya kikodi,
Kwahiyo mkuu Machizi wamekukosea nini mpaka kuwahusisha hapo?Ukienda city centre maeneo ya kuanzia DIT mabanda kila kona hadi machizi wanalala humohumo.
Tatizo na siyo tatizo... hakuna taratibu na upimaji wa banda!! Ilimradi ukiokota kiroba funika..ukijipatia Tamara chakavu zine.. ukijioatia bati bovu ekeza..hata mifuko ya plastiki wewe tandaza !! Yaani banda sii bandaKwa kweli hawa ndugu zetu ni kweli wanakitaftia kipato kwa ajili ya kuendesha familia lakini hawajawekewa utatatibu mzuri. Cha kushangaza wanaziba hadi njia za watembea kwa miguu ambao ndio wateja.
Kwa kweli serikali inatakiwa kuweka utaratibu mzuri ili kila kitu kiende kwa utaratibu mzuri.
Tatizo na siyo tatizo... hakuna taratibu na upimaji wa banda!! Ilimradi ukiokota kiroba funika..ukijipatia Tambara chakavu Ziba .. ukijiokotea bati bovu ekeza..hata mifuko ya plastiki wewe tandaza !! Ukipata torubali chafu bandika ....Yaani banda sii bandaKwa kweli hawa ndugu zetu ni kweli wanakitaftia kipato kwa ajili ya kuendesha familia lakini hawajawekewa utatatibu mzuri. Cha kushangaza wanaziba hadi njia za watembea kwa miguu ambao ndio wateja.
Kwa kweli serikali inatakiwa kuweka utaratibu mzuri ili kila kitu kiende kwa utaratibu mzuri.
Mi naona.....Ukiwa unakula bure au amemaliza tu chuo na kupata ajira huwa mnaona Maisha rahisi Sana na unakuja na viushauri vya kipuuzi na unasahau kuwa Kuna wenzako toka wamalize chuo hawajapata hata laki tano na imeshapita miaka kumi.
Huku tunakotafuta ridhiki Kuna Mambo mengi Sana nakushauri inakusaidia nini kupendeza usoni wakati huna uhakika wa Kula. Pakishapendeza hapo Morocco panawasaidia nini walala hoi .Acha ujinga Watu wanaishi maisha duni Sana na wanatafuta wateja popote walipo wamuuzie angalau hata pipi na karanga ili apate faida ya kupata kununua unga ale na wanae.
Siku ukimuona mama kabeba mtoto mgongoni na kajitisha beseni anauza mihogo au dizi ujue huyo anatafuta hela ya Kula tu siyo kufanikiwa. Acha dharau kwakuwa hujawahi lala njaa waliwahi kusota ndiyo waliowaruhusu hao Watu wafanye biashara maana wanajua nini maana ya njaa.
Eti Hadi Chicago[emoji16][emoji16][emoji16]We mse.nge ushafika lagos..kuna uwezekano wew ndio hujatembea...nenda india...mpaka chicago vibanda vipo.we unaongea nin wew...sis wengne tushatembea huko kote..usidanganye watu.vibanda viko dunia nzima kwa level yake na machinga wapo dunia nzima kwa level zao...labda ulaya ndo hakuna...scandnavia huko
Nani mwenye Akili kwenye dunia hii Kama U,S,A na England,Rusia German Watu hawana pakulala na hawana vyoo na maisha yanasonga.Tatizo lako unakula bure na hujawahi lala njaa ndiyo maana unaongea Upuuzi wako .Toka shule ya msingi mpaka chuo kikuu Umesoma Private na hujawahi fukuzwa Ada halafu unakuja kubwabwaja hapa eti tuwe wastaarabu tupange mji kuwe Kuna masoko maalum hivi Unafikiri yule mlinzi anayelinda pale Morocco bus terminal na Morocco square au anayelinda pale Airtel anawza kwenda Kula Best bite? Acha Upuuzi uwe Unafikiri vizuri hao walinzi tunawategemea Sana na ndiyo wanaokula kwa hao mama ntilie pale kando ya barabara ,Umesahau kuwa maji ya kwenye hotel yanauzwa Bei ghali Sana Hali inawafanya hotelia wengi kununua maji ya kunywa nje ya hotelia yao?.Acha Upuuzi wewe Mtoto wa mama Unafikiri wale mafundi ujenzi Kule Masaki wanaweza kuingia hotelini sea clif kununua chakula ?. Acha Utoto angalia Hali halisi ya maisha kwa ujumla siyo siyo unachungulia tu .Maisha ya Nchi yakiwa Mazuri huwa yanajiseti yenyewe tu siyo kuamrishwa Kama vile unavyoona Watu walivyopungua kwenda internet cafe,kunyoa nywele kichwani kwa viwembe .Acha ujinga ww......
binadamu mwenye akili anatakiwa apangilie mambo......
sio kufanya biashara hovyo hovyo Alaa!!
Baseless..pointless !!Hii ni U.S.AView attachment 1666468
Hoja dhaifu unatazamaje yenu wakati kituo kikubwa Cha mabasi kipo Morroco halafu unataka Machinga wakakae Jangwani na unasahau kwenye Mikusanyiko wa Watu ndipo Kuna wateja .Muwe mnawaza kwa upana siyo kiporojo au mnaona raha Watu wakifa njaa kwa kujifanya kuwa mmestarabika kiujinga.Wewe Kama umekulia maisha laini usifikiri wote wanayo hayo maisha .Baseless..pointless !!
Sisi tutazame yetu na majiji yetu..
USAFI na tutunze mazingira yetu.. tusinyamaziane au kubebana ktk uendeshaji na utendaji.
Kwa hiyo unapindisha SHERIA za mipango miji?Hoja dhaifu unatazamaje yenu wakati kituo kikubwa Cha mabasi kipo Morroco halafu unataka Machinga wakakae Jangwani na unasahau kwenye Mikusanyiko wa Watu ndipo Kuna wateja .Muwe mnawaza kwa upana siyo kiporojo au mnaona raha Watu wakifa njaa kwa kujifanya kuwa mmestarabika kiujinga.Wewe Kama umekulia maisha laini usifikiri wote wanayo hayo maisha .
Shida sio WAMACHINGA WASIFANYE BIASHARA BALI MABANDA YAJENGWE KWA UTARATIBU UNAOHESHIMU MAZINGIRA, BARABARA NA WATEMBEA KWA MIGUU.Nataka Dar iwe kama Ulaya.
Rais wetu alikua anasisitiza sana ila nahisi hawa watendaji wake hawamuelewi.
Wamachinga wameharibu uzuri wowote wa Dar ambao mtu angeufurahia kasoro tu eneo la jeshi lugalo ndio mtu ukipita unafurahia.
Flyover Ubungo ukigeuka tu pembeni ukiona mabanda ya machinga utam wote kwisha. Mlimani City ndio kabisaa ni takataka. Ukienda city centre maeneo ya kuanzia DIT mabanda kila kona hadi machizi wanalala humohumo.
Haya saizi Bagamoyo Road kuanzia Mwenge hadi Morocco pameanza kupendeza ila nawaambia soon uzuri wote unaisha machinga wanahamia. Hivi hizi mamlaka haziendi hata hapo nairobi tu zikajifunze vitu vidogo kama hivi? Ndio ulaya tutaifikia kweli?
Hatusemi biashara zisifanyike, ila tafuteni utaratibu sehem za uso wa barabara kuu zibaki zinavyopendeza. Au basi mtangaze maeneo yote ya mbele ya barabara kuu ni ya jeshi ili machinga waondoke wenyewe pabaki pazuri kama Lugalo.
Mwenye shibe hamjui mwenye njaa!!!Ukiwa unakula bure au amemaliza tu chuo na kupata ajira huwa mnaona Maisha rahisi Sana na unakuja na viushauri vya kipuuzi na unasahau kuwa Kuna wenzako toka wamalize chuo hawajapata hata laki tano na imeshapita miaka kumi.
Huku tunakotafuta ridhiki Kuna Mambo mengi Sana nakushauri inakusaidia nini kupendeza usoni wakati huna uhakika wa Kula. Pakishapendeza hapo Morocco panawasaidia nini walala hoi .Acha ujinga Watu wanaishi maisha duni Sana na wanatafuta wateja popote walipo wamuuzie angalau hata pipi na karanga ili apate faida ya kupata kununua unga ale na wanae.
Siku ukimuona mama kabeba mtoto mgongoni na kajitisha beseni anauza mihogo au dizi ujue huyo anatafuta hela ya Kula tu siyo kufanikiwa. Acha dharau kwakuwa hujawahi lala njaa waliwahi kusota ndiyo waliowaruhusu hao Watu wafanye biashara maana wanajua nini maana ya njaa.
Kwahiyo unataka mwenye Tigo pesa ajenge Banda sawa na muuza miguu ya kuku na utumbo au Muuza leso za mtaji wa Elfu tano ajenge Banda Kama la Muuza mabegi.Halafu mnakaa mtaani nhoooo Mimi nimesoma Uchumi Eenhhe Mimi nyonyonyo Akili za hovyo kabisa wewe unaona kabisa Watu aliokaa pale hata wengine kununua tu Mwamvuli tu wanashindwa wanachomeka na jua muda wote halafu umwambie ajenge Banda .Hivi nyie Watu mnasomaga vyuo gani Hivyo mpaka mnafundishwa Upuuzi namna hiyo!!!!??.Shida sio WAMACHINGA WASIFANYE BIASHARA BALI MABANDA YAJENGWE KWA UTARATIBU UNAOHESHIMU MAZINGIRA, BARABARA NA WATEMBEA KWA MIGUU.
Idadi ya wateja (walaji) ni ile ile hata wakijenga mabanda mengi kama mchwa